Lowassa, Sumaye wako kimya sana!

Lowassa, Sumaye wako kimya sana!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Nimewakosa hawa wazee, wamekaa kimya sana, vipi wazima lkn huko waliko?
 
Paukwa. Vilikuja vichwa vya mbuzi. Vikakanwa na wachungaji, wachuuzi na wauza nyama.Vikachwa. Leo yupo mtu asema avikague vitafaa kwa supu
 
Kwani kuna kulazimishana kuongea kama mnavyolazimisha kupima mikojo?
 
Kumbe mnataka watu waongee wakati huo huo mnataka muwape na kamusi ya ccm.
Mmekosa wa kukamata na kuwaita wachochezi sasa mnaulizia wako wapi, hebu muulizeni mwenyekiti wenu
 
Nimewakosa hawa wazee, wamekaa kimya sana, vipi wazima lkn huko waliko?
Ndio viongozi wa CHADEMA waliobaki na busara kwa sababu ya malezi sahihi ya CCM.

Viongozi wa CHADEMA waliobaki ni wa matukio ili kwa ujinga wao wakamatwe wapate huruma ya wananchi. Matokeo yake wanaendelea kupoteza imani na mvuto waliojijengea kisiasa kwa wapiga kura.

Ni viongozi wa kuchaguliwa (wabunge na madiwani) wachache sana wa CHADEMA wanaokumbuka ahadi zao kwa wapiga kura ila wanakumbuka kufanya bifu na viongozi wa Serikali. Ni mjinga tu anayewaza na kupambana na Serikali, enzi hizi za siasa za technolojia.

MWAKA 2020 hauko mbali na uhakika kila aliyechaguliwa atavuna alichopanda.
 
Wameshasoma alama za nyakati na kuona walipotea kwenda huko kwa chama cha kikabila. Wanaona ni bora tu kumute sasa kuliko kuongea na kupata fedheha
 
Hawajui iwapo waendelee kumuunga Uhuru au Wahamie fujo za NASA mana ndio zao
 
Mmoja bado anatafakari jinsi alivyokuwa anamwaga pesa misikitini na makanisani lakini siku ya siku hawajampa Urais.
 
Wapo kimya wanakula tu ubuyu upepo mbaya ngoja utulie kwanza vumbi likipungua utawaona
 
Back
Top Bottom