Hivi kukomboa ile ndege kweli imeshindikana?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,326
Kilichonisukuma kuleta hii mada ni baada ya kuona video mtandaoni ya ndege hiyo kwa mwana dada yule wa ughaibuni ikionyesha ndege hiyo ikiwa imepaki kiwandani.

Kuleta hiyo video hapa mtandaoni nimeona inaweza kuleta ukakasi fulani ila nachosema kama hiyo clip ni ya kweli basi haipendezi kabisa hivyo tunawaomba wahusika mfanye juhudi kukomboa hiyo ndege.

Navyojua mambo ya mitandao,hiyo clip soon itasambaa tu mitandaoni na kwakweli haitaleta picha nzuri.

Ni ushauri tu.
 
Huyo mdada anaaminika sana kwa habari zake, sasa Kwa nini mkuu usimuulize huyo mdada atuulizie hao wa huko kiwandani wakupe mrejesho kuwa wenyewe watakuja kuikomboa lini?
 
Mmevurugwa kwa sasa hamna tena cha kuandika kuhusu ndege,hamjui kinachoendelea basi mmechanganyikiwa tu.Hivi ndege kwani inapaki angani?kupaki ndege kuna maana nyingi inawezekana bado haijamaliziwa kulipiwa au bado masala ya kiufundi yanamaliziwa.
Tulieni ndege zote zitakuja tu
 
Ukisikia ng'weeee ! Basi ujue tayari !
 
Kilichonisukuma kuleta hii mada ni baada ya kuona video mtandaoni ya ndege hiyo kwa mwana dada yule wa ughaibuni ikionyesha ndege hiyo ikiwa imepaki kiwandani.

Kuleta hiyo video hapa mtandaoni nimeona inaweza kuleta ukakasi fulani ila nachosema kama hiyo clip ni ya kweli basi haipendezi kabisa hivyo tunawaomba wahusika mfanye juhudi kukomboa hiyo ndege.

Navyojua mambo ya mitandao,hiyo clip soon itasambaa tu mitandaoni na kwakweli haitaleta picha nzuri.

Ni ushauri tu.
Sidhani kama mada hii inatija sana. Serikali ndo iliyoamua kununua ndege hiyo hivyo taratibu zingine tuiachie serikali yenyewe.
 
Back
Top Bottom