ITV wanarusha mubashara kumbukumbu ya mwalimu Nyerere

ITV wanarusha mubashara kumbukumbu ya mwalimu Nyerere

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,293
Wanajukwaa ITV wanarusha kumbukumbu ya mwalimu hakika hotuba zake hazichoshi huyu alikuwa mtu mwenye akili anayoyaingea leo yanatokea.
 
Kenya wana umoja TV ambapo unapata live streaming ya TV channel zote lakini bongo bana hakuna na waliojaribu wametengeneza vi application ambavyo kwa mwezi unalipia 10,000/= channel moja tuu
 
Huyu baba j badala ya kujifungia na bashite mjengoni angekuwa anatumia mda huo kuangalia hivi vitu mjengoni angejifunza mengi
 
Kenya wana umoja TV ambapo unapata live streaming ya TV channel zote lakini bongo bana hakuna na waliojaribu wametengeneza vi application ambavyo kwa mwezi unalipia 10,000/= channel moja tuu
Changamkia fursa mkuu kama unaweza
 
Nimeangalia aisee JK Nyerere anatema madini ya ukweli na kuna baadhi ya vitu alivitabiri vinatokea leo hii
 
Back
Top Bottom