Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mapacha waliokuwa wamezaliwa wakiwa wameshikana katika kijiji cha mbali nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo, wameponea safari ya saa 15 kwa njia ya piki piki wakipelekekwa kutenganishwa. Kisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu mko poa wakuu. Wakuu siku ya leo kiukweli kwangu mimi haijaenda vizuri kabisa baada ya kwenda kanisani kusali lakini badala ya kutoka na baraka nikajikuta natoka na dhambi ya...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu nawasalimu sana, Miaka kama kumi iliyopita nilikuwa mmoja kati ya washiriki wa mkutano wa HEAC-higher education accreditation council ambayo ilikuwa replaced nakuwa TCU kutathmini hali ya...
1 Reactions
3 Replies
892 Views
Ni muda sasa kupata Driving Licence ni shida ukienda ku renew hata wale wa kupata mpya. Unatumia risiti ya malipo ya Bank barabarani kama ushahid kwa trafiki kuwa una Driving Licence. Hakuna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naandika makala hii kwa masikitiko makubwa sana maana rais wetu anahaha kila siku kuhakikisha nchi yetu inakuwa ya viwanda. Akifanikiwa itasaidia kutuweka huru na hizi bidhaa dhaifu toka nje ya...
0 Reactions
15 Replies
12K Views
  • Closed
kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za dstv ziko 209 na za Azam TV zipo package 3 popote ulipo nakupa huduma unachofanya unanitumia smart...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wananchi watakaobainika kutokuwa na vyoo bora wilayani Kilolo watawekewa bendera nyekundu majumbani mwao ili kuwatambua ikiwa ni mkakati wa serikali wilayani humo kukomesha magonjwa ya mlipuko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, katika pitapita zangu niliamua kulitazama hili suala la kuwa anonymous hasa unapotumia internet. Kuna sababu nyingi za mtu kutaka kuwa anonymous mtandaoni, mfano kujilinda na kutaka...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Kuna mambo hayana Logic kabisa Tanzania. 1.Kutaka matajiri kuishi maisha ya taabu. 2. Kukataza mirungi na kuruhusu Sigara/pombe .."ivi ipi ina madhara" By the way zote ni faragha za mtu. 3...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukiangalia hakuna fani ambayo Waafrika tumebobea kama Sheria British Common law, maisha yetu yote yanazunguka hapa. Hakuna Wanasayansi, hakuna Hisabati, hakuna Engineers lkn Wanasheria ni balaa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie taarifa kuhusu hizi fursa zinazotangazwa na Clouds Fm. Mambo ya muhimu ni fursa zipi zinatolewa na Clouds Fm, kama kuna gharama yoyote Ile ya kuhudhuria kwenye conference hiyo na...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Hili jambo sijui ni nani alilianzisha , kiukweli halina tija kabisa na ni fedheha kwa Taifa. Nimeona kwa macho yangu Temeke jijini Dsm watu wasio na hatia yoyote wakikamatwa na kudhalilishwa...
51 Reactions
180 Replies
16K Views
Dk. Bilal ana ajenda gani? Omar Maftah, Mkunazini, Zanzibar Tanzania ni nchi yenye bahati nzuri ambayo inawapa wananchi wake fursa kubwa ya kuzungumza na kujadili mambo yanayowahusu wao au...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimewakosa hawa wazee, wamekaa kimya sana, vipi wazima lkn huko waliko?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu Leo baada ya kuwasha TV na kukuta maadhimisho ya siku ya kifo cha baba wa taifa mwl J.K Nyerere basi nikakumbuka miaka 21 iliyopita ambayo ndo ilikua siku ya kwanza kuona video katika Yale...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Jaman majaribu na majanga yamenichosha, nitayapata wapi haya maji ya baraka ya TB Joshua? Tafadhali nisaidieni! Best Regards
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Majenerata 7 kati ya 9 ya shirika la umeme Tanesco yameharibika, yamebaki majenerata 2 yenye uwezo wa kuzalisha 4 MW za umeme ambazo ni mdogo mno. Mgao wa umeme umeanza rasmi Mtwara na Lindi na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwenzenu nawasalimu habari za jioni Nini dawa ya uvimbe wa kwenye titi/nyonyo? Nahisi uvimbe ndani , naombeni mnisaidie
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mi uwa siwaelewagi mjue eee ni hobi lakini hii yenu huwa sijui huamushwa na nini
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Kumekuwepo na vitisho nchini kwa watu ambao wanatoa maoni ya kuichukiza serikali. Hili kwa kweli halipo sawa maana watu wanatakiwa watoe ya moyoni kwani wakiyatunza akilini na moyoni ni hatari...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom