Kafiwa na mama mzazi lakini muda wote selfie nauliza pindi umefiwa na mtu muhimu kiasi hiki je nguvu ya kushika simu unaitoa wapi mpaka kufanya mitupia ya mara kwa mara?! Au ndo kutafuta R.I.P...
Nawasilimu!
Mnamo mwezi wa Julai, 2017 Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alisikika akitoa maagizo kwa Mifuko ya Jamii kuwaruhusu watumishi wa umma kukopeshwa kiasi cha fedha cha kuweza kwenda...
wale madayaspora waliopo USA tafadhali wahini tiket za ofa za Ethiopian Airlines, maana mheshimiwa rais mteule atakapoapishwa januari 2017 atawafukuza wote bila huruma.
Karibuni nyumbani tujenge...
Kweli nimeamiani kwamba Raisi Magufuli amekuja TanZania wakati muafaka kabisa, kumbe huu mradi wa Reli Serikali iliimilikisha familia kubwa na tajiri Duniani iitwayo Rothschild!
Kwa wasiyo fahamu...
Wanabodi naleta hii thread kama general thread haina lengo baya lolote lakini imebeba uhalisia, Mimi kama Gussie nimeona na nimekumbana nayo sana
Mosi, Hizi familia nyingi hujifanya ni za sala...
Wezi wamevunja kioo cha gari lililokuwa kwenye parking karibu na Msikiti wa Hospital ya Taifa Muhimbili majira ya saa 2 usiku.
Mwenye gari ni Muumini wa Dini ya Kiislamu alipark gari lake karibu...
By Jackline Masinde,Mwananchi jmasinde@mwananchi.co.tz
Nyumba za ibada 24 zinatarajiwa kubomolewa kesho na Wakala wa Barabara Nchini (Tanroads) ili kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro...
JESHI la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na bangi kiasi cha kilo 100 kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam.
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari jana kamanda...
Mji unaoongoza kwa utalii wa ndani Tanzania, ni eneo tulivu, lenye hewa safi na utulivu.
Ni sehemu pekee ambayo unaweza kupata mapumziko na akili yako ikawa sawa..sijutii kuutembelea mji huu...
Nimetizama Waiziraeli,Wachina, Waiceland,nk kuhusu maendeleo yao,nikagundua watu wenye asili moja wanaweza kuwa na maendeleo makubwa kwa kujitegemea wenyewe. Sijawa na uhakika kwa kuchanganya...
Habari wana
JF wenzangu
Kama kichwa kinavyojieleza hv kweli serikali imefanya tafakuri ya kutosha kabisa na kujiridhisha hatustahili kuwa miongoni mwa nchi za kidemokrasia na kuturudisha nyuma...
Habari ndugu wa humu ndani.
Hapa ninapoishi huwa kuna mapaka huwa yanakuja usiku yanalia kama watoto. Jana usiku mtoto wa mpangaji wangu amepiga paka mmoja jiwe, sasa jirani yangu amekuja asubuhi...
Kilimanjaro ni mkoa wenye sifa kemkem
Lakini pia ni mkoa ambao hauna ombaomba mwenye miguu mikono na mwenye kila kiungo chake kamili halafu akawa ni omba omba
Tembo waliovamia kijiji cha Msosa kilichopo wilaya ya Kilolo wameua mtu mmoja Hassan Mwatuka alipokuwa shambani akilinda shamba lake la vitunguu asubuhi ya kuamkia leo
Mbunge wa Jimbo la Kilolo...
Maofisa wa Sumatra nawaomba mfanye utafiti/uchunguzi nyakati za asubuhi pindi mabasi ya mikoani yanapo anza safari zake kuelekea mikoani, kituo kidogo cha kibamba CCM ambacho kimeonekana kuwa na...
Nimeuliza swali hili kama vile sijui, lakini kiukweli ninajua. fuatilia mambo haya yaliyonitokea miaka kadhaa.
1. mwkaa fulani, nilikuwa nimelala, usiku nilianza kumtafakari Mungu. niliwasiliana...
Kwanza kumekuwepo na malalamiko mengi mno kuhusu jinsi mnavyo iendesha jf ya sasa.
Sisi mamember sio wapuuzi kuwambieni nyie panapokuwepo na mapungufu.
Yafanyieni kazi.
Mumeunganisha mada yangu...
#maajabu: Leo wakat ninatokea dar kurud dom nlishuka eneo ambalo nilipata ajali mbaya (morogoro)mwaka jana mwez kama huu tar23.,
Sasa chaajabu na kushangaza nilibadilika mwonekano,nikang'aa...
Ninaomba mtuwezeshe kutuma hela kwenye akaunti kwa njia ya simu na sio kutoa hela kwenye akaunti kwa njia hiyo. Narudia tena kuweka hela kwenye akaunti kwa njia ya simu, kama benki zingine zilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.