Why Muhongo Pulled Out of Race for Unesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why Muhongo Pulled Out of Race for Unesco

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MaxShimba, Sep 24, 2009.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  The Citizen (Dar es Salaam)
  Tanzania: Why Muhongo Pulled Out of Race for Unesco Top Post

  Mkinga Mkinga
  23 September 2009


  Dar es Salaam — Lack of support from African countries forced Tanzania's Prof Sospeter Muhongo to pull out of the race for the top post in the United Nations Education, Science and Cultural Organisation (Unesco).

  The election of the Unesco director general was scheduled to be concluded in Paris last evening.

  Continue hereunder
  http://allafrica.com/stories/200909230574.html
   
 2. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2009
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Prof. Muhongo is among the few committed and credible International learned Tanzanians.
  When you compaired him with all the other candidates, he stood as the only real Scientist!
  Well, I think we need him badly to serve in our Government today. He can fit better in different Ministries such as those entrusted on Energy, Education, Science & Technology.
  Mh. Kikwete hatutajuta kumuona mtu huyu akitumikia Taifa lake! Watu wa Geology Dept tulishuhudia haya alipokuwa mkuu wetu hapa Dar Univ.
   
 3. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  nononon mzee awe waziri nasema nonono?ana ukabila sana bora huko UNESCO angefaa ila upepo haujamwendea fresh
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mama5J,
  Una ushahidi gani kuhusu ukabila wa Muhongo? Unazidi wa Kikwete?
   
 5. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2009
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tarehe 14th February 2009, 03:57 PM Mama 5J's chini ya kichwa cha habari;

  Re: Prof Sospeter M. Muhongo - A suitable candidate for the position of DG of UNESCO

  uliandika:

  "Huyu ana nafasi kubwa but he has done nothing 4 his country!i do not support this MZEE kwenye hii post!"

  Sasa leo unasema;
  "...ana ukabila sana bora huko UNESCO angefaa ila upepo haujamwendea fresh.

  Mama unaonekana huna ground za kumshutumu Prof. Muhongo, vinginevyo mwaga hapa upupu utuonyeshe ambavyo ametumia ukabila katika huduma zake hapa nchini na hata huko alipo sasa. Vinginevyo kama humfahamu vizuri tembelea hata hiyo tovuti ya icsu (http://www.icsu-africa.org) uone kazi zake na anavyochapa kazi na Secretarieti ya watu gani.
  Unasema has done nothing 4 his country wakati ni mwaka jana tu kiongozi huyu alipewa Tuzo ya juu ya Taifa toka COSTECH kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania!

  Tafadhali , hapa ni mahala pa watu kueleza yaliyo ya kweli na kuchambua mada kwa haki bila kutunga mambo na au kuonyesha tu chuki binafsi ambazo hazitusaidii hapa wala Taifa letu.
   
 6. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2017
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,445
  Likes Received: 12,621
  Trophy Points: 280
  Muhongo is Dumbest Prof i h"ve never see......

   
Loading...