arusha mgao umeanza rasmiKwa kweli hali ni mbaya sana, mikoani pia kuna mgao wa kimya kimya, Arusha, Mbea, ni balaa tupu!
Kwenu wapi mkuuJamani kwa kweli, huku kwetu ni kero kubwa mno,watu wanashindwa kusaga mahindi kupata unga, maji yanashindwa kupandishwa(hayatoki maji) kwa kweli hali mbaya siku ya 5 leo hakuna hata umeme
Duuh! Sifahamu tatizo lipo wapi? Gesi Mtwara na Dar ipo tele! Nasikia Mtwara mashine nyingi ni mbovu, sasa je spare hakuna? Kinyerezi nao kwa nini wasizalishe?