Video: Nyerere akimfundisha Rais Kennedy wa USA kucheza Bao

Mwalimu alikua nikijana sana.

Siku hizi vijana wengi hawaujui huu mzchezo wanajua pool table.

Wizara ingeanzisha programme maalum ya kuhamasisha michezo yetu ya asili hata akija mgeni aone kuna kitu kipya cha kujifunza
 
Mwalimu.nyerere akimfundisha rais wa marekani.mchezo wa bao

Si kweli...huyo ni Robert Kennedy- Mdogo wa aliyekuwa rais wa marekani (JF Kennedy)...nakumbuka wakati anakuja Tanzania (early 60s) alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Attorney General) kama sikosei.
 
Mwalimu alikua nikijana sana.

Siku hizi vijana wengi hawaujui huu mzchezo wanajua pool table.

Wizara ingeanzisha programme maalum ya kuhamasisha michezo yetu ya asili hata akija mgeni aone kuna kitu kipya cha kujifunza

Hata pool table nao ni mchezo pia sio lazima ujue bao . Ebu muone Nyerere akicheza pool table hapa
IMG_2512.jpg
 
Back
Top Bottom