Jamani naomba ushauri

Jamani naomba ushauri

Masweeter

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
236
Reaction score
669
Mwenzenu nawasalimu habari za jioni
Nini dawa ya uvimbe wa kwenye titi/nyonyo?

Nahisi uvimbe ndani , naombeni mnisaidie
 
Mwenzenu nawasalimu habari za jioni
Nini dawa ya uvimbe wa kwenye titi/nyonyo?

Nahisi uvimbe ndani , naombeni mnisaidie
Waone Mewata faster wenda kansa ya manyonyo..!

Sasa lile toto kubwa linanyonya tu bila kujua nyonyo inatatizo..??
 
Wahi hospital kafanye vpmo muhimu. . .

Pia mwambio toto kubwa anyonye la kushoto tu kwa utulivu...
 
Una boyfriend wewe....
Mwanaume anposhika chuchu za mwanamke humsaidia kupunguza uwezekano wa saratan

Tafadhar nitafute
 
Back
Top Bottom