Je Askari kutoloipa Nauli kwenye daladala ni Sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Askari kutoloipa Nauli kwenye daladala ni Sawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gamba la Nyoka, Nov 18, 2007.

 1. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2007
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,603
  Likes Received: 6,770
  Trophy Points: 280
  Kwa muda mrefu askari hususan katika jiji la daresalaam wameendelea kutolipa nauli katika daladala , je wana ndugu mnalionaje suala hili?
   
 2. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2007
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Hata mimi I must admit suala hili lilikua likinikera sana lakini baada ya kutoka nje ya nchi nikaja gundua kuwa ni kitu cha kawaida.Sababu kubwa ni kwamba wenzetu hao wana excuse ya kuwa kazini saa zote, hata akiwa kwenye daladala-whether amevaa gwanda or not(atahitaji kitambusho cha kazi kama yuko in plain clothes).
  Kinachoendelea kunikera hadi leo hii ni ukosefu wa utaratibu maalumu wa wao kupanda hayo magari ya watu bure.Mtu ana kiji hiace chake kinabeba watu watu wachache, safari ikianza anakuja gundua almost 50% ya abiria ni askari, konda akitia neno anachukua kichapo!Ingekua vizuri kama kungekua na limit ya 'hii mizigo' kwenye kila gari, na ingesaidia kama wangekua wanajitambulisha wakati wa kupanda. And I think its so unprofessional kwa hawa walinzi wa usalama kutumia huu mwanya wa 'free ride' wakiwa wanafanya shughuli zao binafsi. Tunawaona kila siku wakiwa 'bwii' kwenye madaladala na nauli hawalipi kwa upolisi wao, kama mtu anaweza kujinunulia kili saba na mbuzi choma, anashindwa nini kulipa mia mbili ya nauli?
   
 3. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2007
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,603
  Likes Received: 6,770
  Trophy Points: 280
  huko nchi za nje, vyombo ambavyo hao askari hawalipi nauli ni public au private?. kwa sababu mimi ninadhani kama mabasi ni public basi serikali inaweza isiwatoze nauli, lakini vyombo binafsi vya watu kwa nini wasilipe nauli?
   
 4. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2007
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
   
 5. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2007
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu Gamba,kampuni ikiwa public haimaanishi kuwa inamilikiwa na serikali, routes nyingi zinahudumiwa na public companies ambazo zinamilikiwa na shareholders ambao ni pamoja na individuals kama mimi na wewe,hazitegemei fungu lolote toka serekalini.
   
 6. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2017
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,919
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Uchochez
   
Loading...