Tanzania ya viwanda

Tanzania ya viwanda

ferrocyanide

Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
86
Reaction score
41
Je viwanda vingapi vimejengwa?
Wakuu naombeni mnisaidie kujua idadi ya viwanda ambavyo serikali imejenga
 
Vipo vingi vya utekaji,upigaji risasi wakosoaji,na vya kutetea vyeti feki
 
Viwanda ni upinzani kila siku wanashikwa na kutoa faini


Swissme
 
Je viwanda vingapi vimejengwa?
Wakuu naombeni mnisaidie kujua idadi ya viwanda ambavyo serikali imejenga
Serikali haijengi viwanda na ukisubiri utangoja Sana ! Kazi ya serikali Ni kujenga mazingira bora ya uwekezaji. Na ninadhani ni vizuri Kama hoja ingekuwa je serikali imejenga mazingira yanayowezesha wawekezaji kujenga viwanda. Kutamani serikali ijenge viwanda ni kuturudisha hatua nyuma wakati serikali zikifanya biashara.
 
Back
Top Bottom