b191
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 742
- 1,032
Habari wandugu?
Samahani naomba kuuliza kwa anayejua,
Hivi mgao wa Umeme umeanza tena?
Maana sielewi, tangu Baraza la Mawaziri lifanyiwe marekebisho huku kwetu Umeme unakatika kila siku Kuanzia SAA 12 JIONI hadi SAA 5 USIKU.
Hebu tujulishane kama na huko kwenu hali ni kama huku.