Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna siku nilikuwa nasafiri kutoka Dar kuelekea Dodoma tulipofika maeneo ya benzi akasimama jamaa mmoja, alivyosimaa mimi nikajua ni wale wale wa kuuza sabuni na vipidozi. Alipoanza kuongea ndipo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Godwin Mushi (kulia) akiongoza ibada katika kanisa hilo lililopo Mbezi Inn jijini Dar es Salaam jana. Waumini wa kanisa hilo wameanza kulibomoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya pili duniani kwa kuzalisha tani 38,000 za asali kwa mwaka, huku nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Ethiopia inayozalisha tani 50,000. Hivyo, Watanzania wamehimizwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WATAALAMU wa ukaguzi na usimamizi wa mitandao nchini wameshauriwa kujenga uelewa wa kutosha kwa jamii ili kuweza kujua maana halisi ya usalama wa mtandao na hata kuwa na mfumo wa kulinda mifumo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu. Jamani nina majirani zangu ni wanafiki hatari.Week iliyopita ijumaa, nilirudi zangu nyumbani. Nikakuta wamekaa. Nikawasalimia na maongezi kidogo nikaingia ndani.Kukaa kidogo ndani...
6 Reactions
87 Replies
11K Views
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limeiomba serikali itoe msamaha wa kodi kwa vifaa na huduma zinazotolewa kwenye uwekezaji wa viwanda. Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godius Kahyarara...
0 Reactions
1 Replies
702 Views
1.Pweza wote wana kichwa kinachoitwa mantle kilichozungukwa na mikono nane inayoitwa tentacles. ogani zote muhimu za pweza kama vile ubongo na moyo hupatikana kichwani. 2.Sehemu ngumu kuliko zote...
5 Reactions
72 Replies
21K Views
Wakuu hebu angalieni wenyewe anavyolalamika huyu raia wa kigeni..sasa kwa sisi ambao tunakaaga kimya bila kujua madhara si ndio tunakufaga tu bila kujielewa?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimepokea simu ya mwanangu, akijiandaa kuanza mwaka wa nne chuo kikuu, ya kunichokoza kama kawaida yake. Kunichokoza hakuanza leo. Kumbukeni, mwaka 2015 alivyoninyanyasa wakati wa uchaguzi...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Aisee... Kero namba moja ninayoichukia ni mabasi yanayoonesha movies tena hizi bongo movies.. Zinakudisturb mazima hata huwezi jisomea au hata kusinzia. Inanifanya nizidi kuzichukia hizi movies...
23 Reactions
77 Replies
7K Views
Wasalaam, Hivi hii tabia ya hawa wanajeshi wa Tanzania kujichukulia hatua za kisheria mikononi ni nani aliyewapa? Au kuna sheria inayowaruhusu watoe adhabu za kidhalilishaji kwa Watanzania ambao...
30 Reactions
204 Replies
20K Views
Mzee wa upako asema kwamba hana muda wa kumwombea mtu anaye taka mke wake arudi kwenye himaya yake baada ya kuondoka kwake mda mrefu kwa maana mwanamke anaweza akarudi na magonjwa huko atokako...
2 Reactions
118 Replies
10K Views
Jamani hivi Chui ananguvu kiasi gani mdomoni, kama kwel anaweza akafanya attack ya namna hii na akambeba mamba akaondoka nae simba je?? Imenishangaza saaana
4 Reactions
160 Replies
36K Views
Habar zenu wana JF... Hiv kuna mwenye kujua labda nini chanzo cha katizo la umeme la mara kwa Mara.. Yaan hii imekuwa kero huku kwetu (Ilala msimbaz center) cku ya pili hii umeme Hatuna na hakuna...
0 Reactions
5 Replies
963 Views
Kwa kauli za kubomoa nyumba zote ambazo zimejengwa sehemu ambazo hazijapimwa na hazina vibali, purely Lukuvi is a dictator in the making! Lakini kwa vile watanzania nao tumerogwa, hatujitambui no...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Upinzani wamekuwa na akili nyingi Japo siasa wao wamepigwa marufuku tofauti na Ccm lakini najua mbinu kali wanazotumia upinzani hasa chadema nafikiri ni afadhali wangerhusiwa kufanya mikutano na...
1 Reactions
0 Replies
631 Views
Za j2 wakuu. Nipo home mida hii najitathimini huku nikishirikiana na serikali ya kichwa changu. Niende kwenye pointi ya msingi iliyonisukuma kuleta uzi huu. Namshukuru Mungu kwa ulinzi wake...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Ni ngumu kuamini lakini ndivyo itakavyo kuwa lnshaaAllah. Sheikh Sudeis ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa. Al-hikma Foundation inawaalika waisilamu na watu wote kuhudhiria Mashimdano Makubwa ya...
35 Reactions
518 Replies
62K Views
Wiki lilopita narud kutoka kwenye majukumu kama saa 11 jion hivi nakaribia nyumbani kwangu kabisa nikamuona mtu mmoja anaongea na dada wa kazi !basi nikashuka nikamsalimia ,alikua ni bibi wa kama...
15 Reactions
18 Replies
2K Views
Sina Nia mbaya wala kubeza ila nauliza serious. Labda ana makampuni au mashamba au hata kabiashara kadogo kakumuweka busy ukiondoa shughuli za Ubunge. Maana naamini mtaji atakuwa nao . Mwisho...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom