Yaliyojiri, Mashindano makubwa ya usomaji wa kitabu kitakatifu Qur'an leo 11.06.2017 uwanja wa taifa

Ebale

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
940
1,000
Ni ngumu kuamini lakini ndivyo itakavyo kuwa lnshaaAllah. Sheikh Sudeis ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa.

Al-hikma Foundation inawaalika waisilamu na watu wote kuhudhiria Mashimdano Makubwa ya qur-an yanayofanyika leo jumapili tarehe 11/6/2017 katika uwanja mkubwa wa Taifa.

Share ujumbe huu ili na wewe upate thawabu za kutoa Swadaqah.
18953082_1078329855633085_7054441930384913149_n.jpg

Tupeane updates hapa ya kinachoendelea katika mashindano ya kuhifadhi Quran tukufu uwanja wa Taifa.

img_20170611_101932-jpg.522249


74a1919f8b68dd57b8a438d6ea3369ac.jpg

fa9ca7eca86a0b3c81532098e348a743.jpg


a0acd1fc64b21461974b1b121ad01067.jpg
 

SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,638
2,000
Huenda akashinda huyo.. Nakumbuka mwaka jana alichukua Mkenya mwenye asili ya Somalia
Nimemskikia hapa amekwenda vizur sana,lakini pia nimebaini kitu mfano mshiriki wa Ghana huenda hata lafudhi ya lugha ya kwao imemsumbua kushindwa kusimamia sheria za usomaji,any way tuwasubiri majaji
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom