Inasikitisha sana mkuu..ndio haya mambo waswahili tunajikuta tunaumwa nyumba nzima tunaanza kusema tunarogwa....huyo raia atakua amesaidia jamii nzima ya pande hizo hasa kama mamlaka zitafanyia kazi maana inaonekana ni ishu seriousAisee hatari sana but hilo sio jukumu lao kwasasa mpaka wapewe maelekezo kutoka juu na zaidi hao wananchi wanaweza kuambiwa wahame hilo eneo waiache Tanesco.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Angalau wenzetu wanakuaga na uelewa mpana ndio maana hata wanaweza kutoa tahadhari...sisi hatunaga muda afu mwisho wa siku madhara yanaanza kutupata. Maana am sure wakazi wengi mitaa hiyo ni wenyeji na hawajui madharaThe writer seems to have a good knowledge on the side efects of the poles treatment poison.Kindly let him suggest the best way to avoid the effects instead of narrating the problem and leave it unattended.Hon Dr Kalemani should also be informed.