Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Alishawahi kuwa Gavana wa Benki Kuu yetu, Je alikuwa Mchumi? Na alisomea wapi huwo uchumi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam Imekuwa Kawaida kwangu mwili kusisimka Yani kama nimemwagiwa maji ya baridi Nikipita maeneo baadhi Zaidi ya Mara tano nikiwa kwenye mizunguko najikuta nafika sehemu nguvu za kuendelea...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia baadhi ya Wakristo wakiimba wimbo wa Taifa kanisani, mfano Kanisa Katoliki. Je unadhani ni sahihi kuimba wimbo wa taifa kanisani? Ina maana wimbo wa taifa unaimbwa mahali...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kuna kawaida ya watanzania kuposti picha za walemavu kwenye mitandao na kukomenti Amin, Mungu amsaidie, Mapenzi ya bwana yatimizwe na vitu vya aina hiyo. Sasa najiuliza kutimizwa kwa haya mapenzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Lucky Vincent ya mjini Arusha, walionusurika katika ajali ya basi na kupelekwa nchini Marekani kwa matibabu, huenda wakarejea nchini humo kuendelea na masomo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Tukio hilo lilizua gumzo kubwa nchini baada ya picha zilizopigwa kwa kutumia simu ya mkononi kusambazwa kwenye mitandao zikionyesha wakulima hao wa kizungu wakimsukuma Victor Mlothshwa, mkazi wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii story anayosimulia mbona imo humu jamii forums mda mwingi, au huwa anatoa humu story then anafanya kuwa kuna watu wamemtafuta? Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena Ka copy huu Uzi(ndo...
6 Reactions
83 Replies
11K Views
sitaki kuhoji uharaka wa kutoa vyeti vya pongezi kama barua inavyosema... Je itakuwaje kukiwa na mabadiliko huko mbele? Kwakuwa ishu ya kulipwa dollar million 300, sio dollar billion 700 bado...
5 Reactions
69 Replies
9K Views
Poleni na mjukumu wakuu, Baada ya kushangaa na kujiuliza kwa muda mrefu hatimae nimewaelewa wanawake wa zama hizi. Wanawake wa sasa hawapendi kuolewa na mwanaume mwenye akili...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa naomba kujua tofauti kati ya hivyo Vitu vitatu yaani Nina card ya prepaid, credity card na debit card.ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii imetokea huko uganda baada ya baadhi ya watu kuliwa na wenzao sasa taharuki imetanda na baadhi ya watu wamekimbia makazi yao baada ya kuogopa kufanywa kitoweo.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Alivyosikia Tundu Lisu amepata nafuu na kupiga picha basi CEO wa Barrick akaamua kukodi ndege kwa kutumia fedha za Kampuni ktk Kanada mpaka Dar ili kuja kuzuia Tundu Lisu asijadiliwe, Irony off...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wana JF, Ndugu msaada kwa aneyefahamu jinsi ya ku booking tour online ya abroad Europe, Natanguliza shukrani.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens Kweli nchi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wenye hekima huwa hawakurupuki kama huyu golikipa. #barrick
0 Reactions
3 Replies
694 Views
Hilo agizo limepindishwa namsikiliza lukuvi muda huu kupitia magic fm kasema nyumba zinazobolewa ni zile zinazojengwa sasa ktk maeneo yasiyoruhusiwa na ambao wanakesi za uporaji wa viwanja...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Tumezoea kusikia raha ya pombe ni kulewa tu, ila zifuatazo ni faida za pombe zifuatazo, maelezo yake yapo kwenye picha
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Takwimu walizotoa Tanzania daima asilimia 67 ya watanzania wanatumia ARV hazikuwa sahihi na kwa ustaarabu inabidi waombe samahani. Ingawa takwimu hizo hazikuwa sawa, lakini hotuba ya leo toka...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Geita Daniel Limbe Waandishi wa habari wanne mkoani Geita wameshambuliwa kwa bakora na kuwekwa sero na askari wa jeshi la polisi mkoani humo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom