Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau kwa Utendaji Kazi wa Dr John Magufuli Naona ni Miujiza tu ya Mola wetu Kutuletea Kiongozi wa Namna ya Kipekee ambaye Kiukweli Hata Katika Zoezi la Uteuzi ndani ya Chama Chake Hakupewa...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Majeruhi wawili wa ajali ya gari wanashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Pwani wakihusishwa na usafirishaji wa bangi magunia 7 yenye uzito unaodaiwa kuwa Kg 7,500. Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani...
0 Reactions
68 Replies
11K Views
******************************** Thread not found due to technical errors
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akikata utepe jana Dar es Salaam kuashiria uzinduzi rasmi wa namba maalumu ya simu itakayowezesha wananchi kuchangia mfuko...
0 Reactions
2 Replies
774 Views
Kumekuwa na tatizo la kukatika umeme kila mara mfano Leo jumapili hii maeneo ya Sahare. Ukiacha hili la umeme maji pia ni shida maana kukatika asubuhi mida ya watu kuamka. Kwa kweli ni kero.Kwa...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mtenga wilayani Nkasi, Leonard Mwipugi (29) amejiua kwa kujichinja koromeo akiwa nyumbani kwake. Taarifa zilizotolewa na Mratibu wa Elimu Kata ya Mtenga, Hebron...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Salaam ndugu zangu.Poleni na majukumu ya wiki nzima. Moshi na Arusha wanawake hasa mabinti wanapenda sana kitimoto na bia na uwe na gari aina ya subaru inaoshwa hapo nje bar au pub. Yaani...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Starehe ipo tabata bhana.hakuna ubishi.sie huku hakuna cha vyuma vimekaza au vimelegeaa..sisi bata tuu. Hayo mambo ya kuwa hela hakuna Sijui mjini..hayo mnayajua nyie.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Sikuwahi kujua hata maprofesa wanaogopa mitihani hadi mdau wangu mmoja alipopata fursa ya kuwaseminisha hawa jamaa wakiwa nimiongoni mwa wahudhuriaji na kutangaza kipimo ni mtihani. Tangazo hilo...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
habari wadau. najua humu kuna wataalamu wengi wa Information technology... na hii ni digital era...internet imerahisisha mambo ndio maana kina facebook wakatajirika... mtu kama uber tax yeye...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ili kupunguza gharama za uendeshaji, Serikali imetangaza kuachana na matumizi ya karatasi kutoa nakala za malipo ya mshahara (salary slip) kwa watumishi wa umma. Badala yake, Serikali sasa...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Wadau nimeona niulize swali hili, Kihistoria wayahudi wamekuwa wakichukiwa na jamii mbalimbali duniani. Jana tu Museum yao imeshambuliwa huko Ubelgiji. Wayahudi wamekuwa wakipokea vitisho...
1 Reactions
270 Replies
36K Views
South Korea’s army told legislators on Thursday that it can quickly destroy the North’s front-line artillery systems in a war, Yonhap reported. The country’s ground forces, in a report to the...
0 Reactions
4 Replies
964 Views
Unakuta gari limeandikwa Kph 80 haya maneno yanamaana gani au yanamaanisha nini? Asanteni
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Enzi za nyuma ulikuwa uwezi kufanya matengenezo ya chombo chochote cha serikali ukaruhusiwa, lakini pia mali za serikali hasa magari yanapoagizwa uja na guarantee ya muda wa matumizi na kwamba...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wadau Siku Nyingi Sana Zimepita Tokeo Niwepo Dares salaam. Nakumbuka Kuna Kiwanja Kilikuwepo Maeneo yaTabata Maarufu Kwa Live Band ya Ukweli Kilichoenda Kwa Jina la Savanna Club.Siku za Weekend...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zilizotufikia kutoka Muleba zinasema kuna ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo ikihusisha Gari dogo la abiria (Hiace) iliyokuwa ikitokea Muleba kuelekea mji mdogo wa Katoro wilayani Chato...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Ndugu wana JF habari zenu ,poleni kwa kazi na majukumu mbalimbali ya ujenzi wa taifa.Nimeamua kuchukua uamuzi huu mgumu wa kuwashirikisha maisha yangu pengine naweza kupata faraja maana ni mzigo...
12 Reactions
126 Replies
15K Views
Niliwahi kusafiri maeneo mengi ila Babati kuna kero kubwa sana inayoletwa na wapiga debe ktk stendi ya mabasi ya nje ya mkoa. Kulangua nauli, kuvutavuta abiria, wizi na upotevu wa mizigo. Je...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wiki hii inayoisha leo Watanzania tulipata bahati sana ya kutambulishwa Filamu / Sinema mbili ambazo kwa kweli zote zinamvuto wa aina yake kabisa ila kuna ' tetesi ' kwamba kuna moja imeshauzika...
0 Reactions
2 Replies
726 Views
Back
Top Bottom