hivi Nape Nnauye hana shughuli nyingine ya kufanya ukiondoa siasa

hesabu900

Member
Apr 18, 2017
78
62
Sina Nia mbaya wala kubeza ila nauliza serious. Labda ana makampuni au mashamba au hata kabiashara kadogo kakumuweka busy ukiondoa shughuli za Ubunge. Maana naamini mtaji atakuwa nao . Mwisho nashauri hata wabunge wengine wawe na miradi yao hata kama ni midogo itakayowaweka busy pindi watakapokuwa nje ya siasa. Wasitegemee sana siasa. Asanteni
 
Ungeuliza ana hata nyumba ya kuishi Dar? Uwaziri ulipoisha ghafla ilikua aibu! Tumshukuru Mama mkwe kuokoa jahazi
 
Kawa kiongozi kwa kipindi kirefu kisha jijenga usitaraji maisha yamsumbue akiacha siasa
 
Back
Top Bottom