TANESCO na katizo la umeme lisilo na taafifa

doleicute

Member
Oct 18, 2017
76
42
Habar zenu wana JF... Hiv kuna mwenye kujua labda nini chanzo cha katizo la umeme la mara kwa Mara.. Yaan hii imekuwa kero huku kwetu (Ilala msimbaz center) cku ya pili hii umeme Hatuna na hakuna taarifa.... Weekend njema wapendwa
 
Poleni sana labda kuna mitambo mikubwa ya kufua na kusambazia umeme mitaa ya huko kwenu inarekebishwa au kuna tatizo mahali labda wanarekebisha... Pole japokuwa Tanesco hawatoi taarifa kwa wakati muafaka
 
Habar zenu wana JF... Hiv kuna mwenye kujua labda nini chanzo cha katizo la umeme la mara kwa Mara.. Yaan hii imekuwa kero huku kwetu (Ilala msimbaz center) cku ya pili hii umeme Hatuna na hakuna taarifa.... Weekend njema wapendwa
Umeme wa mgao umeanza inaelekea.
Hata mie kwangu wiki nzima hii umeme unakatwa kwa masaa.
 
Habar zenu wana JF... Hiv kuna mwenye kujua labda nini chanzo cha katizo la umeme la mara kwa Mara.. Yaan hii imekuwa kero huku kwetu (Ilala msimbaz center) cku ya pili hii umeme Hatuna na hakuna taarifa.... Weekend njema wapendwa

Kama Tanzania Silaha zingekuwa zinauzwa kama ' njugu mawe ' mitaani na masokoni nadhani ningeshanunua yangu siku nyingi ni kuwamaliza ' Mabosi ' wote wa TANESCO kwani ' wanakera ' hakuna mfano na kibaya zaidi wako very poor in Communication hali ambayo inazidi tu kukutia ' hasira '. Nadhani hili Shirika linahitaji ' mabadiliko ' makbwa sana na ya haraka mno. Mkuu bora Wewe huko Ilala wenzako huku Kinondoni ndiyo balaa kwani wanakata muda wanaojisikia na wanarudisha muda watakaopenda. Sijui kwanini Sera za Tanzania haziruhusu Raia kumiliki ' Silaha ' ili tuzitumie katika kuleta Heshima. Wiki hii nzima TANESCO wamenikera sana!
 
dah yaan mambo mengine yanaboa sana wametuweka siku tatu bila umeme bila taarifa...tangu ijumaa usiku mpk jumapili tuna kaangika kwa joto..aagh bora niande Zimbabwe kwakwelio_Oo_O
 
Back
Top Bottom