Mamba Mzembe sana, meno yote yale anakamatwa kirahisi hivi na chui

Tatizo hatuoni mwisho wa movie, je alipoingia majini hakuweza kujitetea? Tunaona mpaka anamwingiza majini. What was the end of the story.
Mamba hana jeuri kwa chui,jaguar,chitter.hata kama yupo kwenye maji anachomolewa vizuri tu.

Uzuri wa hawa wanyama jamii ya paka ni,timing,akili,wepesi.mamba hana ujanja wala maarifa ya kujinasua anapobanwa zaidi ya kutumia miguvu tu.
 
c4aa2ca76a1b14c1c2dd873d9e5e1bba--crocodile-party-nile-crocodile.jpg
Ndugu hapo ndo hata mm nilikua nawaza kwa nini hakujitetea hata alipokua majini??

Mamba wako aina nyingi sana. Huyu anaitwa cayman na sio crocodile. Ni mdogo kwa umbo na hupatikana sana kule Amazon. Chui pia wako aina nyingi na huyo hapo ni Jaguar naye hupatikana hukohuko. Ni aina pekee ya chui anayeishi kwenye maji. Box to box kiumbo wanalingana umbo na cayman ndio maana kazi ya kumla huwa rahisi kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom