Lukuvi is a dictator in the making!

Lukuvi is a dictator in the making!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,991
Reaction score
104,413
Kwa kauli za kubomoa nyumba zote ambazo zimejengwa sehemu ambazo hazijapimwa na hazina vibali, purely Lukuvi is a dictator in the making!
Lakini kwa vile watanzania nao tumerogwa, hatujitambui no body sees that!
Sheria ya ardhi haina kifungu kinachosema ardhi ambayo haiko chini ya commissioner wa ardhi in terms of ownership by granted right of occupancy lazima ipate kibali cha kujenga.

Obtaining a building permit is a condition for keeping a right of occupancy. According to section 34 of Land Act Nº 4 1999, it shall be a condition in every grant of a right of occupancy, where the purpose for which the grant has been made is to construct buildings on the land, and that the grantee of such right shall apply for a building permit under the Township (Building) Rules within six months of the grant of the right of occupancy.
 
kwa kuwa umewaandikia watu wa jamhuri ya Ireland ngoja waje kueleweshana. laiti ungehitimisha kama ulivyoanza wengi wa madarasa ya ngumbaru katika tasnia ya sheria tungenufaika maana ndio 'tuliorogwa' sana.
 
Mkuu lukuvi anaipenda hiyo kazi sana kuliko unavyofikiria,

Nia ya pogba ni watu muishi kama mashetani ooh yea na sasa yanatimia,

Lukuvi anatekeleza sera mpaka muishi kama mashetano
 
Back
Top Bottom