Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu. Taratibu za jeshi la Polisi zinaeleweka na taratibu na kanuni za kiuchunguzi zinafahamika. Sasa kwanini raia wapigwe Ukonga Mombasa kwa kuonewa kiasi kile? Kama kuna askari wetu aliuawa...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Uongozi wa Mlimani City imeifunga Supermarket ya Nakumatt Tawi la Mlimani City Jijini Dar es Salaam kutokana na kutotimiza majukumu yake kama mlipakodi wa jengo hilo hivyo kurudisha nyuma...
5 Reactions
122 Replies
22K Views
Wanabodi hivi mwezi huu mshahara unapita kwenye malimbikizo au? Maana mpaka tarehe hizi siyo kawaida
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Toleo la leo Jumapili 2015/05/17,Gazeti la Tanzania Daima katika ukurasa wake wa kwanza juu ina kichwa cha habari kinachosomeka "sababu za kutolipuliwa Ndege ya Rais Ndani ya gazeti hilo...
9 Reactions
82 Replies
13K Views
Kumekuwa na mtindo wa wizi wa pikipiki kufanyikia huku maeneo ya Mbezi Beach. Mara nyingi abiria wanakodi pikipiki kutoka Kunduchi au Tegeta kuja Mbezi wakifika kwenye barabara za ndani ambazo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tabia ya Vyombo vyetu vya usalama kujichukulia sheria mkononi imekuwa zoefu kwa miaka mingi sasa,na hasa pale linapotokea tukio la mmoja wao kukorofishana au kudhuriwa na Mwananchi katika...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Tatizo la Usafiri DSM bado ni kero kubwa sana. Serikali ilikuja na mpango wa kutatua tatizo la usafiri dsm kwa kuanzia UDART kwa barabara ya Morogoro kutoka Kimara hadi kivukoni, kariakoo, na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali iingilie kati hii hali,wananchi wake wanapata shida nafikiri waziri aseme chochote juu ya hawa jamaa wanaoendesha ndege kijanja janja,niko airport sasa hivi na nimekutana na wenzangu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wapendwa, Naomba kujua ili kupata leseni ya kuendesha gari daraja lolete lile natakiwa niwe na vigezo gani na ni kwa kipindi gani na ni shilingi ngapi? Please mnijuze
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Kwa ufahamu wangu, SSRA ni mamlaka inayosimamia mifuko ya jamii nchini, na PPF ni mfuko wa jamii unaosimamiwa na hiyo mamlaka ya SSRA, wakati wizara ya kazi na ajira ndiyo inayohusika na masuala...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kutoka kwa kina Darlene zschech,don Moen ,Michael Smith ,hillsongs na wengineo Nendà Google andika Musicpleer ukianza na jina la msanii unaye mtaka utabarikiwa sana.....this is where u can get a...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Nawazungumzia Mungu mkuu (sio miungu) shetani na malaika... Katika mkondo huo pia kuna mapepo majini mizimu nk Neno linasema..... Basi natuumbe mtu kwa mfano wetu.... Kwa mujibu wa maandiko...
17 Reactions
108 Replies
15K Views
Thread zako zilikuwa zikifanya kila mwenye kusoma arudie mara mbili mbili ili aweze kupata ladha ya uandishi wako adhimu na mpangilio wa vina. Ni kitambo sasa mambo mazito yanatokea lakini...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Kampuni ya Msama Auction Mart leo imeendesha zoezi la Kamata kamata ya wajasiriamali wanaofanya biashara ya kuingiza nyimbo za wasanii kwenye simu kwa kutumia Compyuta Jijini dar es salaam Zoezi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana Jf Ukija nyumbani unamkuta mjomba ameshafika na anafanya hivi kama inavyoonyesha kwenye picha utafanyaje. kumbuka muda huo mama yake yuko jikoni anapika hajui kinachoendelea sebuleni...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Sina taarifa zaidi ila nimeona si mbaya kuwajulisha wana JF
0 Reactions
18 Replies
6K Views
nimekuwa nikishutumiwa na baadhi ya wadau kuwa napenda kuweka mapicha ya kutisha na post zangu nyingi ni za usiku (Kizani) Ni kwenye kiza hiki ndio tunakutana na nafsi zetu sisi wenyewe, hatuoni...
5 Reactions
131 Replies
22K Views
haya yamekuwa yakitumika sana . na ndo ukapogundua kuna tofauti ndogo sana ya mbwa na binadamu. au binadamu na jini. tumekuwa tukisikia jinsi ambavyo majini yamekuwa yakitumwa kwenda kudhuru mtu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kher? Katika maisha kuna vitu vinasikitisha sana tena sana, Waajiri wengi wamekosa utu hasa linapokuja suala la kutimiza wajibui wao kama waajiri hapa nazungumzia malipo na stahiki za...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wadau, Wengi tunajua makazi ni basic needs kwa human being yeyote.. Na hii imetulazimu hata maskini kununua viwanja hata mabondeni tujenge kupata makazi. Bomoa bomoa imekuwa nyingi sana...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom