Kada mkongwe VUTA NKUVUTE yuko wapi?

Kada mkongwe VUTA NKUVUTE yuko wapi?

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,942
Reaction score
46,326
Thread zako zilikuwa zikifanya kila mwenye kusoma arudie mara mbili mbili ili aweze kupata ladha ya uandishi wako adhimu na mpangilio wa vina.

Ni kitambo sasa mambo mazito yanatokea lakini hauonekani kutuleta taarifa kama ambavyo ilikuwa desturi yako.

Je intelijensia ya CCM imekung'amua na hivyo kukunyima "access" ya kupata taarifa mbali mbali za chamani na hasa ofisi ndogo ya Lumumba ambazo ulikuwa akituwekea hapa jukwaani?

Wana jukwaa nawauliza: Amepotelea wapi Kada huyu wa CCM wa ofisi za Lumumba na Mwanachama wa TLS.

VUTA NKUVUTE jitokeze sasa utupe yale yanayoendelea huko Lumumba. Kama na wewe unaisoma namba basi tuhabarishe wanajukwaa japo kwa whatsapp tutaendelea kuugulia huku tulipo kimoyo moyo.

Kinyungu.
 
Thread zako zilikuwa zikifanya kila mwenye kusoma arudie mara mbili mbili ili aweze kupata ladha ya uandishi wako adhimu na mpangilio wa vina.

Ni kitambo sasa mambo mazito yanatokea lakini hauonekani kutuleta taarifa kama ambavyo ilikuwa desturi yako.


Je intelijemsia ya CCM imekung'amua na hivyo kukunyima "access" ya kupata taarifa mbali mbali za chamani na hasa ofisi ndogo ya Lumumba ambazo ulikuwa akituwekea hapa jukwaani?

Wana jukwaa nawauliza: Amepotelea wapi Kada huyu wa CCM wa ofisi za Lumumba na Mwanachama wa TLS.

VUTA NKUVUTE jitokeze sasa utupe yale yanayoendelea huko Lumumba. Kama na wewe unaisoma namba basi tuhabarishe wanajukwaa japo kwa whatsapp tutaendelea kuugulia huku tulipo kimoyo moyo.

Kinyungu.
VUTA NIKUVUTE njoo huku unaitwa....au bandle hana mkuu..lumumba kumakauka..
 
Back
Top Bottom