Moe Szyslak
JF-Expert Member
- Nov 6, 2016
- 368
- 724
Sina taarifa zaidi ila nimeona si mbaya kuwajulisha wana JF
Nipo safarini tuu.Mmh hatari sana...vipi ilikuwajekuwaje?? Tafuta taarifa zaidi ulete hapa mkuu
Daaah hii ni hatari sanaNipo safarini tuu.
Ila sidhani kama kuna waliopona maana lami ilikuwana damu zilizokauka. Nadhani ilitokea usiku
Zoom in picha mbili za kwanza. Hiyo lami inonekana kama ina madoa ila kiuhalisia ni damu iliyokauka mara baada ya kufutwa.Aiseee , mkuu mleta uzi ebu jazia jazia nyama kidogo uzi wako, what happened?
Km unatokea Mbeya, mwendo mfupi kabla ya kufika kona za kupanda kuelekea Iringa mjini(stendi)Iringa maeneo gani
Owky mkuu nimeiona jana nilipita pale ni ipogolo karibu na shule ya Ruaha secondaryKm unatokea Mbeya, mwendo mfupi kabla ya kufika kona za kupanda kuelekea Iringa mjini(stendi)
Ni ipogolo mwishoni mkuu kama unaelekea mbeya kuna kona halafu kuna sheli kwa mbele kabla ujafika kwenye shule ya Ruaha secondary nimepita jana zimezikuta bado zipo pembeniIringa kubwa mkuu maeneo gani aise
Kweli nimeona mkuu, walio kuwa kwenye Semi(scania) wote wamekufa, walio kuwa kwenye kipisi(scania) wote wamevunjika miguu, na ambao walikuwa kwenye gari ndogo hawakuumia hata kidogo isikopokuwa gari ilidondoka.Ni ipogolo mwishoni mkuu kama unaelekea mbeya kuna kona halafu kuna sheli kwa mbele kabla ujafika kwenye shule ya Ruaha secondary nimepita jana zimezikuta bado zipo pembeni
Asante kwa taarifaKweli nimeona mkuu, walio kuwa kwenye Semi(scania) wote wamekufa, walio kuwa kwenye kipisi(scania) wote wamevunjika miguu, na ambao walikuwa kwenye gari ndogo hawakuumia hata kidogo isikopokuwa gari ilidondoka.
Ajari ilisababishwa na kipisi(scania) iliyo jaribu ku overtake gari ndogo ambayo ilikuwa mbele yake, gafla mbele kukawa na semi(scania) ambayo ilikuwa high speed ikawa uso kwa uso.
Hakika ajari ina mwenye.