Tabia za wajomba anapokuja nyumbani kwako

Tabia za wajomba anapokuja nyumbani kwako

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
DMheDW-XUAAUozV.jpg
Wana Jf

Ukija nyumbani unamkuta mjomba ameshafika na anafanya hivi kama inavyoonyesha kwenye picha utafanyaje. kumbuka muda huo mama yake yuko jikoni anapika hajui kinachoendelea sebuleni. Halafu uliachishwa kazi, hela ndani huna umepigika kama miezi 4 hivi. je utamuonya asije tena nyumbani kwako na je siku nyingine ukiwa kitaa unapiga story halafu unapigiwa simu kuwa mama yake yuko tena home na mjomba huyohuyo utarudi fasta nyumbani au utaendelea kupiga story.
 
namuonesha bembea ilipo, damu nzito kuliko maji
 
namuonesha bembea ilipo, damu nzito kuliko maji
kwa hiyo unamtoa taratibu ila ujue hata akiliporomosha chini na kulivunja hutaweza kumwambia baba yake alipe
 
Me nnavyowapenda wajomba zangu,,, ntamuacha abembee hadi achoke
 
Kumbuka wewe kuwa mjomba ni sawa na mama yke mdogo. So kuwa makini na reaction utakayochukua, ukifikiria na umri wa mtoto mwnyw.
 
mie nilimnyima pc, wakati anaondoka kurudi kwa mamake akanichora na masikio makubwa kwamba mjomba unalingia pc yako hata mama anayo ntaenda ichezea.

ile barua nimeiweka mwaka sasa nasubiri akue nimwoneshe yaani ananichora masikio kama popo mjomba ake.
 
Nitamuonya kwa njia nyingine..kwa maana kumpiga sio fair
 
Just kill him before he dies with your flat screen
 
mie nilimnyima pc, wakati anaondoka kurudi kwa mamake akanichora na masikio makubwa kwamba mjomba unalingia pc yako hata mama anayo ntaenda ichezea.

ile barua nimeiweka mwaka sasa nasubiri akue nimwoneshe yaani ananichora masikio kama popo mjomba ake.
🙂🙂🙂
 
Tv ataangalia nyumbani kwao! Hapo atapigwa ban ya maisha kuangalia TV nyumbani kwangu labda nife!
 
Mimi nitampiga na nitaenda kwa Dada naye nitampiga, nitamtafuta shemeji naye nitampiga kama onyo la malezi ya zilipendwa
 
Sijui kwanini, wajomba wanatabia hizi mwezi wa saba alikuja dada angu na mjomba, yani nimepata shoti hadi roho imeingia chuki, kwanza kavunja kifuniko cha kufunika mita ya maji, pili kavunja kioo cha kabati la vyombo. Tatu simu ya shangazi yake kaitosa ktk maji. Yani dah Sina hamu nae aise.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom