Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau, Wengi tunajua makazi ni basic needs kwa human being yeyote.. Na hii imetulazimu hata maskini kununua viwanja hata mabondeni tujenge kupata makazi. Bomoa bomoa imekuwa nyingi sana...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Kumekuwa na tabia ya wachuuzi wa ticket hapo bandarini ambapo zikiwa ticket zimebakia kama hamsini ukienda kukata unaambiwa zimeisha hasa zile za bei ndogo 25000 ukifuatilia unaambiwa utoe 40000...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Waziri yuko annointed!!!, no way. He must be feeling the pain the Tanzanians feel when mambo yasiyo yakawaida yanapotokea kwa binadamu wakiwemo wa Tanzania. Atakuwa anaumia rohoni...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Wakati kampuni zote zikitakiwa kuorodheshwa kwenye Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Serikali imeifutia deni la Sh76 bilioni Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) na kuligeuza mtaji ili...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Dar es Salaam. Gawio la Sh470 kwa hisa limeendelea kuvutia uuzaji na uwekezaji katika hisa za Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL) ambayo imeongoza tena katika mauzo kwa wiki tatu mfululizo. Tangu...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Familia yake huisikii au kusoma kuwa na mabiashara luluki kama vile magazeti, kuwa na hisa kwenye mashirika kama vile UDA au DART na hata kwenye siasa huoni wala husikii kama ni wabunge au watu wa...
2 Reactions
58 Replies
9K Views
Kumekuwa na maneno ya kejeli na kebehi kwa Rais Magufuli kutokana na hatua zake anazochukua kulinda na kusimamia rasimali za taifa. Ni kweli kabisa Tanzania ni moja ya nchi duniani zilizo na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna mnada mkubwa wa vitu vilivyotumika na vingine vipya, na magari, vya ubalozi wa Marekani, hapa Sinza Universial Auction Mart. Watu wapo toka asubuhi wengine saa mbili. TRA walitakiwa wafike...
3 Reactions
97 Replies
10K Views
Tanzania haiishi vioja. Kimojawapo ya kioja kinachoendelea, ambacho huenda kikatuingiza kwenye Guiness Book of World Records of Ridiculousness, ni hili linalofanyika kwenye airport za Tanzania kwa...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Kumetokea mtikisiko mdogo wa kama sekunde 5 Hivi maeneo ya Wilaya ya Urambo muda huu ,sifahamu kwingineko Mamlaka husika Tunafahamu mungu ndio mjuaji lakini kuna utaaalam wakutumia vifaa kujua...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
salaam jf. Jamani usiku huu kuna mtu kanichanganya kweli kweli kanambia akisha staafu ananikatia nusu ya mafao yake nikafanye ninachotaka, sasa naona kama kuchelewa manake sasa hivi yupo rikizo...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Kama kawaida askari wa FFU wanatembeza mkong'oto hapa Ukonga Mombasa.
8 Reactions
102 Replies
12K Views
Hizi simu zina camera sio kwa sababu ya kupigia picha za insta. Wala hizi simu hazina mitandao kwa ajili ya kufanyia umbea kwenye What's Up. Polisi wanachukua rushwa barabarani na simu mnazo...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Juzi hapa katika kusafiri kwangu askari mmoja wa trafiki aliniambia wana shinikizo kali kutoka juu kwamba mapato ya fine wanayokusanya yamepungua hawafikii malengo ya fine za barabarani...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Natambua kabisa kwamba katika Media ambayo hapa Tanzania ina Watangazaji na Waandishi wa Habari Wasomi kabisa tena wa ngazi za Kuanzia Degree hadi Masters ni TBC pekee huku katika Media zingine...
6 Reactions
30 Replies
6K Views
Kwa public servants..Kuna yeyote aliyenusa tayari mshahara wa mwezi huu. ???
5 Reactions
263 Replies
34K Views
Kila ninapona picha za jiji la Mza na jinsi vilima vyake vilivyovamiwa na makazi, najawa na hofu. Hofu ya kuupoteza hilo jiji, ikitokea hayo mawe yaliyo kwenye hivyo vilima, yatakapoporomoka kwa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Daktari Bingwa wa Macho na Mkuu wa Idara ya Macho katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dkt. Baruani Mtemi Sufiani amesema kuwa Kope za Bandia zina madhara makubwa sana kiafya katika macho...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mh.., sawa nakubali unafanya kazi sana kwa ajili ya Taifa hili ila sasa mbona hatuoni uafuu sisi wananchi huku?? Naomba ufanye press conference kulifafanua hili bila vijembe wala kutukashifu...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Vijana watatu wa Clouds TV Leo asubuhi wakipitia vichwa vya Habari vya magazetini walionekana kutetemeka pale waliposhika Gazeti lenye kichwa cha Habari kinacho muhusu Mh. Tundu Lissu. Kwa hakika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom