Heshima yako mkuu.
Pole na majukumu ya kazi. Ombi langu kwako kwa leo ni moja tu, tusaidie sisi wakulima wa mahindi hapa nchini angalau soko la mahindi lipande.
Bei ya mahindi kwa mwaka jana...
Kwanza heshima kwenu wakuu.
Well, hebu naomba kujuzwa kuhusu huo ukweli hapo juu wakuu.
Kuna mtu namdai ila ameniambia mpaka jana walikuwa hawajaingiziwa mshahara nikashangaa sana nikasema let...
Kama alivyogundua mh. waziri huyu:
Trafiki waondolewe mataa ya kuongozea magari Dar
Kulikuwa na haja ya kujaribu kuwaondosha hawa polisi wakafanye kazi zingine hasa za kudhibiti ujambazi. Hakuna...
Habari Wakuu, Jumamosi Hii Nimepangu Kuchukua Fungu Katika Kipato Changu Na Nahtaji Kwenda Pale Muhimbili Kuwapa Wagonjwa Wenye Uhitaji Hata Kama Ni Kidogo. Nasikia Pale Kanisa Katoliki Kuna...
Mafundi wa simu wanasema kioo ndicho kimevunjika lakini "touch" haina shida. Wengine wanasema vyote vinakwenda pamoja, kama kioo kikivunjika automatically na "touch" imekufa
Ukweli ni upi?
Imefika wakati sasa tufanye uzazi wa mpango, Serikali iwekeze rasilimali kwenye uzazi wa mpango, Wasichana wasiokuwa na uwezo wa kutunza watoto wasiruhusiwe kupata watoto na hili linawezekana kwa...
Habari za asubuhi wadau?
Kabla kuingia kwenye agenda, niseme wazi tu binafsi nilikuwa miongoni mwa watu ambao, baada ya kupitishwa muswada, wa habari na kupelekwa kwa rais, ili ausaini na kuwa...
Miaka miwili kamili iliyopita tulichagua Rais, ila vyombo vya dola vikatuwekea Magufuli. Nakumbuka jinsi Dar es salaam na majiji mengine yalivyokuwa kimya! huku sauti ya Lubuva ikitawala anga la...
Meneja wa operesheni wa TMA Hellen Msemwa amesema mvua iliyonyesha leo imeweka rekodi mpya na kwamba kwa vipimo imeizidi ile ya elmino. Source channel ten habari!
Tanga kuna neema kwa wana vikundi wote kama SACOS , vikoba n.k
inasemekana serikali imetenga mabilioni kwa wafanya biashara wa tanga na mikoa mingine yenye sifa flani flani
serikali kupita...
Naiweka hii hapa kwa vile wengi wetu huwa hatuchezi mbali na hapa. Hivi Tanzania imo katika huu mradi wa One Laptop per Child? kama hatumo, kwa nini tunasita?
Sijajua muarobaini wa hili suala ni nini kwa sababu WANANCHI WANAMLALAMIKIA RAIS, na RAIS NAE KILA AKIHUTUBIA, POPOTE PALE, ANAWALALAMIKIA WANANCHI, hasa kwa itikadi zao kuwa na mrengo tofauti na...
Katika hali ya kustaajabisha, Afisa Utumishi wa wilaya ya Tandahimba ameamua kuwauzia vitambulisho walimu waliotayari kulipia shilingi 17,000/=.
Jana alisambaza SMS ifuatayo kwa wakuu wa shule...
Salute bosses
This is one of the best set of advice l have ever read.
1. Take risks in your life. If you win, you can lead; if you lose, you can guide.
2. People are not what they say but what...
Leo nimefutwa na mwenyekiti wa kitongoji na kutakiwa nilipe mchango wa shilingi 15000 kwa ajiri ya ujenzi wa madarasa, lakini rist aliyokuwa nayo imeandikwa mapato ya kijiji je siwa kumpa hiyo...
Mama Salma Kikwete amewaonya wanaume kuacha tabia ya kuwaambia wanafunzi wa kike wa shule za msingi na Sekondari kwamba wamependeza.
Alisema kauli ya kupendeza haina lengo jingine bali...
Wakuu. Tupo pamoja.
Ukiwa unakaribia kufika Mombo ukitokea Hedaru kuna eneo lina konakona kama mbili hivi na ukienda mbele kabla hujafika Liverpool Hotel pale Mombo karibu sana na wanaposimamaga...
Habari wakuu.
Naomba kujua ipi hospitali au medical centre nzuri naweza kumpeleka mgonjwa akapata matibabu ya haraka na mazuri.
Nataka kumpeleka bimkubwa(mama) ila sijajua nimpeleke wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.