MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,732
- 2,714
Hivi tofauti kati ya e-visa na visa free entry nini ebu nielewesheni nimejarbu kutafuta tafuta nimeona nije kwenu wana JF haswa haswa e-visa
Mabwana wawili malizia kwa kusema visa free entry maanake unaingia kwenye nchi husika bila visa, mfano wananchi wa East Africa wanaingia kwenye nchi wanachama bila visa!e-visa ni visa inatolewa kwa internet unaweza kuikuta airport kwa electronic na visa ni kawaida inabandikwa kwa pass yako
hivyo ndio upeo