Msaada wa technolojia

Msaada wa technolojia

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,987
Reaction score
104,411
Mafundi wa simu wanasema kioo ndicho kimevunjika lakini "touch" haina shida. Wengine wanasema vyote vinakwenda pamoja, kama kioo kikivunjika automatically na "touch" imekufa
Ukweli ni upi?
 
Nadhani siku hizi display inakuja imeungana na touch tofauti na simu za zamani...
 
kama ni tofauti ie display na touch viko tofauti, display ikifa na touch inakufa?
Hapana nakumbuka zamani ulikuwa waweza badili touch tu hasa kwenye simu ambazo zilikuwa zinatumia touch aina ya resisitive ambazo sidhani kama kuna simu bado inatumia touch ya namna hiyo kwa sasa.
 
Mafundi wa simu wanasema kioo ndicho kimevunjika lakini "touch" haina shida. Wengine wanasema vyote vinakwenda pamoja, kama kioo kikivunjika automatically na "touch" imekufa
Ukweli ni upi?
Kioo na touch ni vitu viwoli tofauti kabisaa. Kama unataka kujua namna vinavyotofautiana nenda narung'ombe kko utatengenezewa ila uwe makini
 
huko sikuwezi kuasema kweli. tafadhali nielimishe vina tofauti gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom