Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga, amewataka wananchi wa Kitongoji cha Situbwike ambao wamevamia Hifadhi ya Taifa ya Katavi na kuanzisha shughuli za kibinadamu kinyume cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika Hodhi la Reli (RAHCO) Bw. Masanja Kadogosa akielezea jambo mbele ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto) wakati wa ziara...
9 Reactions
226 Replies
39K Views
Wakuu, Naomba kizalendo tuliangalie hili, hivi ni sahihi kambi JWTZ kukosa umeme ni sahihi? Haijalishi TANESCO wanaweza kuwa na mgao/grid kukorofisha lakini hili ni sahihi? Naandika hivi wakati...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Pediatrician maarufu wa kimarekani Dr. Brazelton alifanya utafiti kwa kuwarekodi kinamama wakiwa wamewapakata/kuwashika watoto wao wakiwanyonyesha,kila mmoja kwa staili yake. Miaka 20 baadaye...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Najua unaweza kushtuka baada ya kusoma kichwa cha habari,lakini huo ndiyo ukweli wa mambo yanayoendelea kwenye ulimwengu wa giza,kuna mengi ya kutisha na kusikitisha yanafanyika ungana nami...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Kamanda wa Polisi kanda maalum Dar es Salaam anasema; Ndugu zangu wanahabari nimewaita mchana huu ili niweze kutoa taarifa moja tu inayohusiana na kanda maalum ya Dar kulaani vikali maauwaji ya...
6 Reactions
164 Replies
20K Views
Leo wakat niko kijiwen yalizuka mabishano kuusu mambo ya kichawi... watu walikuwa wanabishana... kwamba ukilala bila ya kuzima taa basi mchawi hakugusi...je wakuu kuna ukweli apo?
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Mkuu wa mkoa wa mtwara Halima Dendego ametoa saa 24 kukamatwa kwa wanakijiji waliompiga mtendaji wa kijiji cha Remisule wilaya ya Nanyumbu Swalehe Kassimu, aliyekuwa akihamasisha wananchi...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
*Inspection 1* 1.License 2.Insurance 3.kwenda kwa usalama 4. Fire extinguisher 5. Triangle *Inspection 2* 1. Front Lights 2. Parking Lights 3. Break Lights *Inspection 3* 1. Car colour 2...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Watanzania tuukatae huu ubaguz wa kuwapendelea wageni huku wenyeji tukikandamizwa! TRA wamekuja ofcn kwangu na kunikadilia mapato ya million 3 kwa mwaka, wakati uwezo wa hiyo hela sina. Ni kweli...
17 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wana JF Niko sehemu hapa ninapata balimi inayotoka jasho nikijivunia kuwa mtanzania. Nawaza kwa maandishi namna gani pale pombe inapokua imekaa sehemu yake kichwani ujasiri unaongezeka na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Jamani mimi nina swali, Hivi mpaka uwe na uhalali wa kuchinja mnyama, mpaka uwe umetahiriwa, uwe muislam au kama ni muislamu halafu hujatahiriwa pia unaruhusiwa?
0 Reactions
38 Replies
5K Views
China taifa lililo Mashariki ya mbali lenye uchumi unaokuwa kwa kasi na kuwa miongoni mwa mataifa duniani yenye ushawishi mkubwa katika diplomasia ya kimataifa. Mafanikio ya kiuchumi ya Jamuhuri...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
CloudsFM Radio Serikali wilayani Geita imeendelea na zoezi la kuwaondoa baadhi ya wananchi waliovamia hifadhi za Misitu kwa kutoa na kuharibu mazao yaliyokuwa yamepandwa na kubomoa vibanda vilivyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi nimetumia muda mwingi kutafakari ni kwa nini sisi watu weusi tunabaguliwa na Wazungu pamoja na kabila zingine zisizo za kiafrika, na bado sijapata majibu kwa kweli. Tuliona ubaguzi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimepata taarifa Jangwani Kuna vurugu tafadhalini mliopo jirani na hapo mtujuze kinachoendelea. Wanataka kubomoa nyumba za bondeni, vijana wanarusha mawe vibaya. Kama unaelekea au kutoka mjini...
3 Reactions
89 Replies
18K Views
Kamanda wa Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema hadi sasa watu wanne wamekufa kufuatia mvua iliyonyesha jana Chanzo: Mwananchi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Swali jamani kwa walio na ujuzi wa costs za Storage ya makontena kwenye hizi private storage facilities Mpaka sasa Serikali itakuwa imelipa kiaso gani kwa kuhold hayo makontena ya Acacia?? Maana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukielewa vyema kabisa maana halisi ya ' Mchambuzi ' utagundua ya kwamba ni Mtu ambaye analifanyia ' tathmini ' ya kina jambo fulani au tafakuri tunduizi jambo fulani bila kuegemea / kulalia upande...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kumekuwepo na kawaida ya kutokea msongamano na foleni kubwa ya abiria hasa kwa nyakati za asubuhi sababu ikiwa ni uchache wa wakatishaji tiketi kulinganisha na wingi wa abiria wanaoshuka kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom