Wanajamvi nimetumia muda mwingi kutafakari ni kwa nini sisi watu weusi tunabaguliwa na Wazungu pamoja na kabila zingine zisizo za kiafrika, na bado sijapata majibu kwa kweli.
Tuliona ubaguzi...
Nimepata taarifa Jangwani Kuna vurugu tafadhalini mliopo jirani na hapo mtujuze kinachoendelea.
Wanataka kubomoa nyumba za bondeni, vijana wanarusha mawe vibaya.
Kama unaelekea au kutoka mjini...
Kamanda wa Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema hadi sasa watu wanne wamekufa kufuatia mvua iliyonyesha jana
Chanzo: Mwananchi
Swali jamani kwa walio na ujuzi wa costs za Storage ya makontena kwenye hizi private storage facilities
Mpaka sasa Serikali itakuwa imelipa kiaso gani kwa kuhold hayo makontena ya Acacia?? Maana...
Ukielewa vyema kabisa maana halisi ya ' Mchambuzi ' utagundua ya kwamba ni Mtu ambaye analifanyia ' tathmini ' ya kina jambo fulani au tafakuri tunduizi jambo fulani bila kuegemea / kulalia upande...
Kumekuwepo na kawaida ya kutokea msongamano na foleni kubwa ya abiria hasa kwa nyakati za asubuhi sababu ikiwa ni uchache wa wakatishaji tiketi kulinganisha na wingi wa abiria wanaoshuka kwenye...
Baada ya habari zilizoenea hivi juzi kwamba Manji anataka kuinunua Nakumatt supermarket kwa hapa Tanzania. Uongozi wa Quality group umefunguka na kusema kuwa ni kweli kuna mazungumzo...
Watu wasiojulikana huko katika kijiji cha Kiyombo kata ya Kipili wilayani Sikonge mkoani Tabora, wametelekeza silaha za moto saba ikiwemo moja ya kivita aina ya SMG na Magazine yake, ambazo...
Kwanza niwapongeze sana vijana na watu wote mliyofanikiwa kudahiliwa katika kujiunga na masomo ya juu katika vyuo mbalimbali
Kwa mliyobahatika kupata mkopo niwashauri kuja na nguvu binafsi yaani...
Waziri wa maliasili na utalii Mhe. Khamisi Kigwangala ameagiza kusitishwa mara moja kwa operesheni ya kukamata mifugo katika pori tengefu la Loliondo sambamba na kuiachia...
Baada ya Nyangumi kitu cha pili kinachofuata kwa kuwa na sauti Kali inayosafiri kwa umbali mrefu ni Jet engine
Ndege yenye engine ya jet huwa na sauti Kali sana ambayo inaweza kabisa kuharibu...
Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya imekamata jahazi katika pwani ya Bahari ya Hindi, maji ya upandewa Tanzania linalosaidikiwa lilikuwa likisafirisha dawaza kulevya kuja Tanzania ,
Jahazi...
Nashangaa kwanini TCU haikufanya research kwa ajiri ya hii system. *TCU ilitakiwa kushirikisha wadau wa elimu kwanza ili kusudi tuone kama hiii system haita athiri upande wowote sasa hivi vyuo...
Habarini wana jamvi
Nimekuwa na msururu wa watu kadha wa kadha wananiita boss, kuanzia nyumbani mtaani mpaka ofisini, wakati mwingine naona ghasia na kwamba sistahili kuitwa boss hasa kutokana na...
Siku zote najiuliza, kwa nini daraja la Jangwani J jiji Dar limekuwa ni issue ya kusababisha kufungwa barabara ya Morogoro, kukinyesha mvua ndogo tu ya mfululizo?
Ninaweza wasamehe wale wote...
Diwani wa Kiluvya wilayani Kisarawe, Idani Kitare amesema watu wawili wamekufa katika Kata yake kufuatia mvua kubwa zilizonyesha jijini Dar
=======
Dar es Salaam. Diwani wa Kata ya Kiluvya...
Kila mvua zikinyesha huu wimbo wa daraja la Jangwani hushika namba moja. Hii barabara ya Morogoro huenda ndio barabara inayopitisha magari mengi kuliko yoyote nchi nzima.
Kwanini barabara hii...
Wakuu.
Tukubali jamaa wametutelekeza wakulima wa mbaazi nchi nzima , hawajatuacha njia panda , wametuacha kwenye mataa hivo hiyo hasara tulie nayo , ruhusuni tuuze mahindi kidogo nje ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.