Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Imefika wakati sasa tufanye uzazi wa mpango, Serikali iwekeze rasilimali kwenye uzazi wa mpango, Wasichana wasiokuwa na uwezo wa kutunza watoto wasiruhusiwe kupata watoto na hili linawezekana kwa Serikali kuwagawia bure wasichana wote waliokwisha vunja ungo vidonge vya kuzuia mimba (birth control pills), pia Serikali ipitishe sheria kwa kila mwanaume anayezalisha msichana ambaye siyo mke wake ni lazima amgharamie mtoto kwa nguvu, hili liwe lazima na siyo ombi ikiwa hivi wanaume wengi watakuwa waangalifu wa kuzalisha wanawake hovyo ambayo siyo wake zao!
Serikali itoe fusra na upendeleo kwa familia ambazo zina watoto wawili kama vile upunguvu wa kodi na huduma nyingine na kila mtoto wa tatu, nne n.k basi wazazi waondolewe hizo huduma na walipie wenyewe!
Hili ni muhimu sana kwani tunakuwa kwa kasi sana na Umaskini unaongezeka kila kitu hakitoshi kila Mwanamke TZ anapata wastani wa watoto 5.6 hii ni idadi kubwa sana, watu wanaozaliwa TanZania ni wengi sana kuliko wanaokufa kwa kawaida ilipaswa ilingane au kuwe na tofauti ndogo!
Kama tusipofanya haya wenyewe basi Wazungu watatulazimisha kwani ni lazima watu watapunguzwa tu na hii ikiwa ni pamoja kuletewa Virusi waliotengezwa maabara kama vile Ebola, na sasa hivi Zika ambao wataua watu wengi sana ili kupunguza idadi ya watu, hivyo ni bora tufanye wenyewe kuliko kufanyiwa!