Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu. Tupo pamoja. Ukiwa unakaribia kufika Mombo ukitokea Hedaru kuna eneo lina konakona kama mbili hivi na ukienda mbele kabla hujafika Liverpool Hotel pale Mombo karibu sana na wanaposimamaga...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu. Naomba kujua ipi hospitali au medical centre nzuri naweza kumpeleka mgonjwa akapata matibabu ya haraka na mazuri. Nataka kumpeleka bimkubwa(mama) ila sijajua nimpeleke wapi...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Ni kautafiti kadogo. Mimi nipo mwanza mjini mahali nilipo hakuna umeme muda huu. Nataka kujua watanzania wenzagu hali ikoje uko mlipo
0 Reactions
24 Replies
3K Views
TABORA: Serikali ya mkoa na Halmashauri ya Manispaa wabomoa Nyumba zaidi ya 60 , zilijenga kinyume na sheria eneo la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Tabora, waliobomolewa kufunguliwa kesi ili...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wamekata tena. Wallah wamekata tena! Toka juzi October 24 ni hivihivi. Ikifika saa 1245 jion unakatika. Na kurusdi ni saa 6 usiku. Shida ni nini jamani? Mitambo? Mafundi? Uchakavu wa...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Tanga. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi amesema wapo katika hatua za mwisho ya kuandaa mapitio ya Sheria ya Uvuvi itakayokuwa na adhabu kali kwa watu watakaobainika kufanya uvuvi haramu. Katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu kuna sehemu nimepita nikaona mama fulani ameorodhesha list ya hele za wajerumani al maarufu kama Rupia ambazo zimetumika zamani na akiwa na machinga aliyekuwa akimuuzia hizo sarafu je...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Kalugendo (49) na mthamini wa madini ya almasi wa Serikali, Edward Rweyemamu (50), wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iwasaidie waweze kupata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Utawasikia wakijinasibu kwa kusema wao ni watetezi wa wanyonge, lakini kwa yale yanayofanya niwe mnyonge wameyafumbia macho na kujifnya hawayaoni; They are turning a blind eye to what makes me be...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Wana JF, Leo tumesikia Waziri Kalemani akimwajibisha meneja wa Kidatu kwa kosa la kutukosesha umeme Tanzania mzima . lakini Je, Nani wakuwajibishwa kwa kosa la kurudia madaraja ya zamani ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jf naomba mnisaidie nifanye nini kuondokana na hali hii kila ninapofikiria kuhusu kifo juu yangu Siku kikifika nakosa amani nanyong'onyea Kwa kweli haya mawazo nitayapotezeaje kiaina...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwa wanabodi JF na Mkurugenzi Dstv; Wapendwa kwa hali ya sasa hela ni ngumu sana matumizi yamekuwa juu kiwango kikubwa na hela haionekani. Tukiachana na malalamiko ya wapenzi wengi wa soka hapa...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
1. Watu wanaofika Hospital kutembelea WAGONJWA wengi zaidi ni wanawake kuliko wanaume... hata nikiangalia ndugu wa mgonjwa mmoja mmoja... 2. Hata ndugu wanaosindikiza wagonjwa hospital wengi wao...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha HALMASHAURI ya Mji wa Kibaha, mkoani Pwani,imewachukulia hatua ya kinidhamu kwa kuwafukuza kazi watumishi 28 kwa makosa ya utoro kazini, kughushi vyeti na upotevu wa mali...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Serikali hili kweli imechemsha na kuacha majonzi kwa maskini kuwa ubomoaji wa nyumba unalenga matajiri waliowaibia viwanja maskini ilihali unafanya tofauti na sera yako. Kilichotokea Tabora kwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza napenda kutoa pongezi za dhati kwa Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mabadiliko makubwa uliyoweza kuyafanya katika kipindi kifupi cha uongozi wako. Malalamiko yangu ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Salam, Nahitaji magunia ya kubebea nafaka. Naomba kwa mwenye mawasiliano na kiwanda kinachozalisha haya magunia ya katani awasiliane na Mimi PM. Ni urgent mno wadau. Tafadhalini.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi .. Nimefikiria hapa kama ningepewa chance ya kurudi miaka 10 iliyopita, na kupewa sekunde 30 tu za kujishauri, ningejiambia nini . Binafsi mimi kama ningerudi miaka 10 nyuma...
4 Reactions
136 Replies
10K Views
Back
Top Bottom