Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi kama madereva wa boda na bajaj zenu wanafanya hivi... Kweli mtakubali kulipa faini zao?! Wenzao wanafuata sheria na taratibu bila shuruti, wao wala hawana muda! kweli akili zao zinakwenda...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa katika bwana. Jamani nina shda sana na anointing water kutoka SCOAN, kama yuko mtu ashawahi kwenda kwa T.B Joshua akapewa naomba anisaidie japo few drops I'll mix it with...
0 Reactions
109 Replies
18K Views
Kwangu mimi huu ujinga mkubwa sana kufungia Magazeti, kwa nini msiwapige faini na kuwaacha waendelee na kazi? Kwa mfano Gazeti au chombo chochote cha Habari kikitoa Habari ambazo kwa mujibu wa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wito huo ulitolewa na mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema aliyeenda eneo hilo juzi asubuhi kuzungumza na wananchi waliofunga barabara na kuandamana kupinga uovu huo wa askari. Dar es Salaam...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
= Ndege imepoteza dira.... ikaanguka na kuua watu wote waliokuwamo kwenye ndege hiyo, Mapenzi ya Mungu. = Gaidi kaiteka ndege..... akailipua angani na kuua watu wote waliokuwamo kwenye ndege...
1 Reactions
3 Replies
968 Views
Niliandika kuhusu wizi wa vipuli vya magari ulivyoshamiri hapo zamani kidogo, serikali kama ikasiliza kilio cha wananchi wake sana sana wa Dar es salaam, kupitia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
H.Mdee ni dowa Kawe, hivyo nimeanza kufadhili Wanasiasa ambao watamtoa. Halima anza kutafuta ajira kabisa kwani 2020 ndiyo mwisho wako, ...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Hakika elimu nu jambo la msingi kwa watoto wote bila kujali jinsia ya mtoto. Lakini cha ajabu watanzania wengi hususana jami ya wakulima na wafugaji walioko vijijini hawawapeleki watoto shule...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
Je mtoto hapa anaonyesha hisia kutokana na wimbo huu au ni kwaajili ya face expression ya mama yake?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dodoma. Naibu Waziri wa ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Kangi Lugola amepewa mtihani na kamati ya Bunge kutoa maelezo ya sababu za Serikali kutobomoa nyumba ya kifahari ya mbunge...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku ya Jumamosi tarehe 21 mwezi huu wa kumi nilituma pesa kutoka kwenye namba yangu ya Vodacom kwenda kwenye namba yangu ya tigo lakini tangu hiyo tarehe 21 mpaka leo hii tarehe 26 hiyo pesa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dunia imeachwa njia panda kuhusiana na kifo na mazishi ya the world most wanted creature Osama bin laden.... Mpaka sasa kuna pande mbili... Upande wa kwanza ukiamini kuwa Osama ni kweli aliuawa na...
31 Reactions
146 Replies
33K Views
Kati ya magazeti yanayotoa maboko ya kitakwimu ..gazeti hili la mwananchi lipo kwenye list yangu. Napenda kuwatahadharisha na wajirekebishe isije siku wanafungiwa wakaanza kulia kuwa uhuru wa...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Kwanza ningependa tufahamu tabia chache za mtawala mwenye chuki na visasi. 1-Huwachukia waliomtangulia na kusema madhaifu yao hadharani 2-Hapendi mwingine asifiwe ila yeye tu 3-Hutamani watu wa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amewapiga marufuku askari wa kikosi cha FFU na kusema hataki kuwaona wakisumbua wananchi katika eneo la Ukonga Dar es Salaam na kutaka waliohusika wachukuliwe...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
izi meli nyingine 200 zilikua za watalii nini au misaada ya dini,mi sielewi jamani anaejua anijuze?! Kusoma wasijue hata picha wasione?!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi ukitaka kupokea mzigo pale cargo JNIA ni lazima uwe na TIN?? Hata kama sio mzigo wa biashara??
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza huko Nchini India Askari Polisi wawili waliokuwa wakijaribu kumuadhibu muhalifu mmoja raia ambaye mwili wake ni mkubwa kidogo. Punde raia huyo aligeuka na kuwapa kipigo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wana JF? Kunaswali kidogo linanichanganya ningependa kupata msaada. Kuna karatasi za payment information unakuwa unapewa ambazo zina control number. Hizi namba ndo unakwenda kulipia bank au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Samahanini wadau nlikua nataka kujua huduma za wajawazito wakati wa clinic zao za mwezi (vipimo wanavyopimwa) huwa ni bure au wanahitajika kuchangia??! Nauliza hivi maana mke wang alikua akienda...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom