Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata amesema kuwa Lazaro Nyalandu alianza kuwa shida tangu alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa viwanda na biashara, aliposhindwa kufanya kazi za ubunge...
Napenda kuripoti kutokea mkoani Mpanda wilaya ya Nsimbo
Mwalimu wa shule ya Sekondari Katumba wilayani Nsimbo amedai wanafunzi wa kike ni ruzuku yao hivyo asipigiwe kelele kwa kuwa amekuwa...
Wito umetolewa kwa wananchi kote nchini kuweza kujijengea utamaduni wa kuwekeza katika mfumo wa hisa na hasa katika hisa za Benki ya Maendeleo
Wito huo kwa umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
Hii serikali mda mwingine nashindwa niipe jina gani.
Rais alipiga marufuku wanafunzi wanaopata mimba mashuleni kutokuendelea na masomo. Inamaana kwa wale ambao wazazi wao hawana uwezo habari yao...
Nimesoma Nyakati na wakati nikaona haya. Nape atakuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa Mungu utakapo wadia.
Najua wengi watabisha ila ndo ukweli mchungu.
Nimejifunza sana kwa JPM, Malima ndo huyo...
Kiukweli hii imenigusa mno kwa sababu inayagusa maisha yangu ya kila siku
Baada ya ajira kuwa ngumu masikini kijana wa watu niliamua kujiajiri kununua bidhaa mbalimbali mitandaoni na kuziuza...
Nimeingia mkoani Arusha alfajiri ya leo, naona mvua ni kubwa toka nifike yaani haiachi hata kidogo. Kwa mvua hii ingekuwa Dar nadhani magodoro yangeanza kuamishwa ili kupisha mafuriko.
Mdau vipi...
Baada ya kuwa patupu dar es salaam kwa siku zilizotabiriwa mvua ie 31/10 mpaka tar 3/11 , Naona mzigo ndo umeanza kumwaga leo usiku wa kuamkia tar 4/11.
Tutegemee yafuatayo
*Mafuriko
*Mwendokasi...
Wengi tunabandika vibali vya gari mbele ya gari, hata mimi hubandika upande wa kushoto wa kioo cha mbele,
Kuna wadau huwa nawaona wamebandika vibali kwenye kioo cha nyuma upande wa kushoto...
Mvua mvua mvua kila kona!
Baba mwenye nyumba Vs Baba mwenye gari mjini.
Bora kipi hapa?
Najua unaguswa kwa namna moja au nyingine...
Binafsi nina gari 3 na nyumba 2.
Kauli za wanasiasa huwa zimejaa ulaghai mithili ya jogoo linapotaka kumpanda tetea. Tukio la jogoo kumpanda tetea (hawa ni wale kuku wetu wa asili ama maarufu kama kuku wa kienyeji. Sio wale...
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu mpangilio wa noti pindi ninavyorudishiwa chenji zangu ninaponunua bidhaa na bado naendelea na utafiti.
Kuna siku moja ghafla nilipata wazo la kuangalia chenji...
Naona hali inazid kushika kasi..hata kama ndo kwenda na wakati mhh hii imenishangaza
msiba ukitokea wafiwa wanahangaika kuvaa sare utadhani wanaenda kitchen party...hasa wadada.
maspika...
Ndugu wa mbunge anaswa na shehena ya Cocaine, Heroine
na Mwandishi wetu
MFANYABIASHARA anayedaiwa kuwa ni kinara wa biashara ya dawa za kulevya nchini, amenaswa na shehena ya dawa za kulevya...
Mchana hainyeshi. Usiku inaanza kunyesha kwa nidhamu mno.Taratibu na hakuna mafuriko na radi za hovyo hovyo kama Dsm au Rukwa.
Nipo Majengo Stand Moshi Mjini natafuna kitimoto rosti na ugali plus...
Forbes uwa wakitoa list ya matajiri duniani watamtaja bilgates akiwa na utajiri wa usd 86 bils, warren buffet wakina Mark Zuckbergy et el.
Lakini kuna mtu anajulikana kama Ratan Tata, mwenyekiti...
Kwenye maandiko akitajwa kama mnyama mpole, na kwa wakristo wakimtumia kama alama ya roho mtakatifu, njiwa amekuwa akitumika kama alama na ishara ya amani duniani kote kiimani na hata katika mambo...
Kwa sasa dola inazidi kuimarika dhidi ya tsh ya tanzania
Soon tu itafika dola moja ni sawa na tsh 2500
Kupanda kwa dola ni pigo kubwa sana kwa wanaonunua bidhaa kwa dola au wanaonunua bidhaa...
JPM: "Katika utawala wangu hakuna atakayepata mimba na kurudi shule. .., ni bora wakalime ili ile nguvu waliyoitumia kujifungua waitumie kulima."
Naibu Waziri TAMISEMI; "Ni marufuku mtoto wa...