Kumekuwepo historia za uadui mkubwa miaka ya nyuma kati ya mataifa mawili hasimu hapa duniani. Kuna mifano mingi sana ya mataifa yaliyokuwa na uadui mkubwa baina yao. Hata hivyo nyingi ya hizo...
Yaani inakaribia mwezi wa pili huu naomba Passport uhamiaji wananizungusha kama sio mtanzania, inauma kwa kweli, kila unapoenda wanaagiza ulete document mpya nå kila siku wanataka urekebishe kitu...
Akikuuliza mtu mjibu kwa mifano hai kama hauna cha kumjibu basi bora ukae kimya.
Mwaandishi mmoja wa habari alimuuliza dai mmoja wakijerumani Salah El dyn mahusiano yaliopo kati ya Uislamu na...
tanzania kupeleka wanyama nje kimataifa ni sawa kabisa kuna zoo kote duniani wanyamama wanatoka wapi ?afrika kuwapa wanyama nchi awana wanyama sidhani ni kama ni makosa , nakumbuka mwalimu nyerere...
Umemuajiri mtu halafu unaomba akupe kazi? Tena kwenye ofisi yako?
Eti unamuogopa muajiriwa wako, siasa bwana. Sorry mliosoma political science tena degree, hivi mnakitu gani cha tofauti na Mh...
Kwa wale wanamfuatilia mwanadada niliyemtaja hapo, watakumbuka ni jinsi gani anapigania maslahi ya Taifa hili kuwashinda hata tunaowaita Makamanda. Samantha Cole kwa muda mrefu sana kawa mstari wa...
Wakuu habari za mida,
Lengo langu ni kutoka dukuduku langu juu ya mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na HESLB.
Ikiwa tiyari ni ijumaa na mda unaenda kwa kasi ya 4G kwa mbali naanza kukumbuka...
TRA Lindi imefungia kiwanda cha saruji kilichopo wilayani Kilwa kwa kushindwa kulipa deni la milioni 89 na kukipa siku 7 kulilipa.
=======
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), mkoa wa Lindi, kwa...
.
Mtuhumiwa huyo alikamatwa Tunduma wakati akifanya jaribio la kutoroka
Tanga.Mkazi wa Kijiji cha Bulwa Tarafa ya Amani Wilayani Muheza, Ismail Yahaya (41) aliyekamatwa Tunduma wiki iliyopita...
Naomba kupatiwa elimu juu ya mwendo penye alama za vivuko waendao kwa miguu, nilazima upunguze mwendo hata kama hakuna anevuka?! Speed limit kiasi gani?! Barabara kuu Dar-Dododa-Rusumo boda ya Tz...
Ni mimi tuu au wote??? Au ndio wameanza kufungia mitandao ya kijamii.
=====
WhatsApp struck by 'Worldwide outage'
The hashtag #whatsappdown is trending on social media at the same time as...
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde akiwa kwenye kampeni za udiwani Ipogoro amesema kwenye uchaguzi mdogo kila kitu kinakuwa kimefahamika ikiwemo nani amechaguliwa kuwa Rais kuunda serikali hivyo...
Naomba kufahamu tofauti za kisheria zinazopelekea ng'ombe 6,000 walioingizwa kinyume cha sheria toka Uganda kupigwa mnada na vifaranga 6,000 vilivyoingizwa kinyume cha sheria kutoka Kenya kuchomwa...
Wahifadhi wa Bonde la Ngorongoro wamemlalamikia Faru Ndugai kuwa ameanza fujo tena kwa kutoroka kutoka Ngorongoro crater na kupanda juu.
Faru wote wanaishi ndani ya Bonde la Ngorongoro lakini...
Kuna ' Mtu ' mmoja leo kaamka haamini kabisa macho na masikio yake hasa baada ya kuona kwamba pamoja na juhudi zake zote za kutumika na kuongea na Press jana akimnanga / akimsema ' Mdau ' fulani...
Wakuu kiukweli hiki kituo cha azam ni moja ya kituo bora kwa sasa kwa upande wa habari muda wa saa2
Ni wazi sasa ITV wanahitaji kujipanga kuwafikia hawa jamaa kwani ni wafanisi sana na wako ki...
RC Makonda ameyasema hayo katika kikao chake na mameneja wa TANESCO wa Dsm/Pwani alioutisha kujadili tatizo la umeme lililopo jijini kwa sasa. Meneja wa mkoa amemthibitishia Makonda kuwa tatizo la...
Nimelazimika kuuliza swali hili baada ya kufanya majadiliano na rafiki zangu kwenye viti virefu na kugundua ni watu wachache sana wanaangalia vipindi hasa vya televisheni. Vipindi pekee ambavyo...
Ni ukweli usiopingika kwa wale wapenzi wa kipindi cha clouds 360 kwa muda sasa toka H Kamoga ateuliwe na magu kuwa mkurugenzi Mbulu, hajapatikana mbadala wake, kamoga alikuwa msikivu ana-argue kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.