Mvua mvua kila kona: Baba mwenye nyumba Vs Baba mwenye gari

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mvua mvua mvua kila kona!

Baba mwenye nyumba Vs Baba mwenye gari mjini.

Bora kipi hapa?

Najua unaguswa kwa namna moja au nyingine...

Binafsi nina gari 3 na nyumba 2.
 
Mvua mvua mvua kila kona!

Baba mwenye nyumba Vs Baba mwenye gari mjini.

Bora kipi hapa?

Najua unaguswa kwa namna moja au nyingine...

Binafsi nina gari 3 na nyumba 2.
Unatumia wastani wa saa moja hadi mawili kwenye gari kwa siku. Masaa manane kazini. Masaa manne kwenye shughuli nyinginezo. Na masaa zaidi ya tisa na zaidi nyumbani. Hulali kwenye gari. Maliwato yapo kwenye nyumba. Kujibanza aka kulala kwa aina zote kwenye nyumba. Na mwisho wa yote unaenda kulihifadhi hilo gari kwenye nyumba. Huwezi kuhifadhi nyumba kwenye gari. Never! Baba mwenye nyumba na aheshimiwe sana! Faza house oyeee!
 
Mvua mvua mvua kila kona!

Baba mwenye nyumba Vs Baba mwenye gari mjini.

Bora kipi hapa?

Najua unaguswa kwa namna moja au nyingine...

Binafsi nina gari 3 na nyumba 2.

Akili za kimasikini bana.. ki carina kimoja old model na visuzuki carry viwili over used eti usharidhika tege kuubwa unaanza kunanga wenzako eti nna gari tatu..na nyumba moja.. wenye nyumba zao weekend hizi na hali ya hewa hii mida hii wapo mahotelini wanakula good time wewe endelea kukinga maji ya mvua tu hapo kwenye kibanda chako kilichoezekwa upande mmoja
 
Back
Top Bottom