Nionavyo mimi Nape ni Katibu Mkuu Mtarajiwa wa CCM

  • Thread starter Ufipa-Kinondoni
  • Start date

Ufipa-Kinondoni

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Messages
4,568
Likes
2,221
Points
280
Ufipa-Kinondoni

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2012
4,568 2,221 280
Nimesoma Nyakati na wakati nikaona haya. Nape atakuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa Mungu utakapo wadia.

Najua wengi watabisha ila ndo ukweli mchungu.

Nimejifunza sana kwa JPM, Malima ndo huyo kala shavu pamoja na kuonekana yuko kinyume.
 
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,621
Likes
8,978
Points
280
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,621 8,978 280
Mmh
 
K

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Messages
2,091
Likes
4,569
Points
280
K

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2015
2,091 4,569 280
Naona itakuwa mshamuomba asiondoke na mtamgaia hicho cheo ili kuwazuia na wengine wanaotaka kufuata nyayo za Nyalandu!!!
 
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
7,792
Likes
15,018
Points
280
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
7,792 15,018 280
Mmeona wanataka kukimbia wote Ndio mnataka kuwabembeleza na vyeo?
 
Ufipa-Kinondoni

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Messages
4,568
Likes
2,221
Points
280
Ufipa-Kinondoni

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2012
4,568 2,221 280
Huuuuu!! Nyarandu mpiga pembe za faru na tembo?
Naona itakuwa mshamuomba asiondoke na mtamgaia hicho cheo ili kuwazuia na wengine wanaotaka kufuata nyayo za Nyalandu!!!
 
Vupu

Vupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Messages
1,429
Likes
908
Points
280
Age
32
Vupu

Vupu

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2016
1,429 908 280
Labda mpaka 2025
 
Sooth

Sooth

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2009
Messages
3,766
Likes
4,523
Points
280
Sooth

Sooth

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2009
3,766 4,523 280
Katibu Mkuu wa CCM wa Shina, Tawi, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa au Taifa?
 
Copenhagen DN

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Messages
6,071
Likes
8,343
Points
280
Age
29
Copenhagen DN

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2014
6,071 8,343 280
Hii ID naskia ni ya mama janeth naona fistlady kaja kutoa siri za familia
Kumbe bado anasauti Mimi nilidhan kansela wa ujerumani ndiye mwenye sauti sasa hivi
 
B

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
1,119
Likes
916
Points
280
Age
66
B

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2017
1,119 916 280
Inawezekana kuwa katibu mkuu,lakini msemaji awe mwingine.
 
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Messages
4,104
Likes
1,904
Points
280
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2014
4,104 1,904 280
Nimesoma Nyakati na wakati nikaona haya. Nape atakuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa Mungu utakapo wadia.

Najua wengi watabisha ila ndo ukweli mchungu.

Nimejifunza sana kwa JPM, Malima ndo huyo kala shavu pamoja na kuonekana yuko kinyume.
Umeonaje
 
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Messages
4,472
Likes
4,326
Points
280
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2017
4,472 4,326 280
Hata angekua mwenyekiti mpya, sie bado tunauguza TL aje "awakute" ccm
 

Forum statistics

Threads 1,237,360
Members 475,533
Posts 29,285,833