Sehemu sahihi ya kubandika vibali kwenye gari

  • Thread starter ElectronicSalim
  • Start date

ElectronicSalim

ElectronicSalim

Member
Joined
Sep 3, 2011
Messages
46
Likes
9
Points
15
ElectronicSalim

ElectronicSalim

Member
Joined Sep 3, 2011
46 9 15
Wengi tunabandika vibali vya gari mbele ya gari, hata mimi hubandika upande wa kushoto wa kioo cha mbele,

Kuna wadau huwa nawaona wamebandika vibali kwenye kioo cha nyuma upande wa kushoto.

Swali langu ni kuwa kubandika kibali kwenye kioo cha nyuma ni sahihi kisheria ?
 

Forum statistics

Threads 1,250,178
Members 481,248
Posts 29,723,245