Mvua hapa Moshi: Natafuna kitimoto rosti Minjas Pub Majengo stand na Serengeti ndogo baridiii

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mchana hainyeshi. Usiku inaanza kunyesha kwa nidhamu mno.Taratibu na hakuna mafuriko na radi za hovyo hovyo kama Dsm au Rukwa.

Nipo Majengo Stand Moshi Mjini natafuna kitimoto rosti na ugali plus serengeti ndogo baridiii huku kamvua kanashuka kwa nidhamu.

Subaru iko hapo nje inaogeshwa na kamvua haka.

Wapi mwenzangu?
 
Dah! Mkuu kwa iyo kitu unayopata, inabidi ukitoka hapo tafuta mtoto mkalii ukapate nae joto usiku. Hutochokaa.

Niseme tu ukweli umenitamanisha sana hiyo kitimoto maana nimeimiss
 
Tumepishana kidogo mi pia nilikua mitaa hiyo ila nadhani ulimaanisha Peter's. Kimvua kimenikimbiza nipo down town naianza weekend huku nikisubiri marafiki huku Red stone
 
Nipo Malindi Club hapa mkabala na Tanesco, nakata rubha polepole na totoz za kizungu
 
Mchana hainyeshi. Usiku inaanza kunyesha kwa nidhamu mno.Taratibu na hakuna mafuriko na radi za hovyo hovyo kama Dsm au Rukwa.

Nipo Majengo Stand Moshi Mjini natafuna kitimoto rosti na ugali plus serengeti ndogo baridiii huku kamvua kanashuka kwa nidhamu.

Subaru iko hapo nje inaogeshwa na kamvua haka.

Wapi mwenzangu?
Hiyo subaru ni gc8,legacy,n16,wrx au?
 
Mmh kuna sehemu karibia na kcmc wanapaita masikio pale kitimoto safi sna nimepamisi kweli
Wacha kabisa maeneo hayo enzi hizo longuo ,kitandu mpaka kcmc nakumbuka tulikuwa tunanua pande la kitimoto na ugali na sukuma wiki au mchicha sh.1000 miaka ya 97
 
Nipo Truth mbezi beach nakula old school hiphop,japo speaker hazipigi fresh!mezani kuna bottles of serengeti baridiii...hali ya hewa wingu kidogo!!totoz za kumwaga
 
wale wa la chaaz njooni tuburudike pamoja nimehama tayri kiwanja hapa napiga mpaka saa kumi theni naenda kulala zangu maana kesho na majukumu ya kiofisi.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom