Nyalandu alishinda ubunge kwa rushwa - CCM

Nyalandu alishinda ubunge kwa rushwa - CCM

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
3,029
Reaction score
8,379
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata amesema kuwa Lazaro Nyalandu alianza kuwa shida tangu alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa viwanda na biashara, aliposhindwa kufanya kazi za ubunge jimboni kwake.

"Kwa hiyo akawa mzigo jimboni kutokana na kutofika na akifika, anasimama jukwaani dakika mbili halafu anashuka huku kukiwa hakuna cha maana alichokiongea. Na hata alipokuwa jimboni, hakuweza kuwatetea wananchi wake na hatimaye akawa bubu kabisa" - Mlata.

Mlata alidai kuwa katika kipindi chote cha ubunge, Nyalandu hakuwahi kushinda kwa kupigiwa kura na wananchi zaidi ya kuhonga wapiga kura na shughuli zote za ubunge zilikuwa zikifanywa na wasaidizi wake watatu na yeye anafika jimboni ikiwa zimebaki siku saba za uchaguzi.

My take:
Nadhani nikisema CCM haina dhamira ya dhati kupambana na rushwa sitakosea. Mlishindwaje kumshtaki Nyalandu kwa kutoa rushwa ili ashinde ubunge, mkasubiri ahame mfanye siasa za utapeli na kutapa tapa? Hakika kuachwa kubaya.
 
Baada ya kutemwa mtasema mengi sana, kutemwa kunauma.

Kama alishinda kwa rushwa office za Takukuru hamkujua zilipo?
 
Mwenyekiti Wa CCM Mkoa Wa Singida, Martha Mlata Amesema Kuwa Lazaro Nyalandu Alianza Kuwa Shida Tangu Alipoteuliwa Kuwa Naibu Waziri Wa Viwanda Na Biashara, Aliposhindwa Kufanya Kazi Za Ubunge Jimboni Kwake.

"Kwa Hiyo Akawa Mzigo Jimboni Kutokana Na Kutofika Na Akifika, Anasimama Jukwaani Dakika Mbili Halafu Anashuka Huku Kukiwa Hakuna Cha Maana Alichokiongea. Na Hata Alipokuwa Jimboni, Hakuweza Kuwatetea Wananchi Wake Na Hatimaye Akawa Bubu Kabisa" - Mlata.

Mlata Alidai Kuwa Katika Kipindi Chote Cha Ubunge, Nyalandu Hakuwahi Kushinda Kwa Kupigiwa Kura Na Wananchi Zaidi Ya Kuhonga Wapiga Kura Na Shughuli Zote Za Ubunge Zilikuwa Zikifanywa Na Wasaidizi Wake Watatu Na Yeye Anafika Jimboni Ikiwa Zimebaki Siku Saba Za Uchaguzi.

MY TAKE:
Nadhani Nikisema CCM Haina Dhamira Ya Dhati Kupambana Na Rushwa Sitakosea. Mlishindwaje Kumshtaki Nyalandu Kwa Kutoa Rushwa Ili Ashinde Ubunge, Mkasubiri Ahame Mfanye Siasa Za Utapeli Na Kutapa Tapa? Hakika Kuachwa Kubaya.
Ok.. na baba Jesca nae vipi?.. nasikia hata yeye naye kashindia maghumash!!..
 
Hivi hawa wanasiasa wa upande huu wa ccm wanafikiri wananchi ni wapumbavu wasiojua kupambanua chochote???
Nashauri wakapimwe MKOJO.!!
 
Bila kuona clip siwezi kuamini kama wamefikia hapo
 
Back
Top Bottom