Utapeli yawezekana na kampuni za mitandao ya simu zinahuska au TCTA

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,439
859
Habarini wadau,
Kumekuwa na msg nyingi kutoka namba hii 0626338309 na ametoa namba yake ya mawasliano 0656971247 akitangaza habari za uganga lakini ukiipiga haipatikani lakini sms zinaenda,nauliza je kampuni iliyotoa namba hiyo hawaijui kweli wakasaidia kutoa taarifa polisi hawa watu wakamatwe au kampuni nayo inafaidika?
e5c02991137bb4e570fed30593697ab6.jpg
 
Back
Top Bottom