Ingekuwa vibaya kama tungebakwa wote lakin amebakwa peke yake maisha yatasonga na mimba haitolewiMmevamiwa na majambazi mke wako akabakwa na akapata mimba
We mwanamke ungeitoa..?
We mwànaume ungemshauri mkeo akaitoe?
Aisee Mie ningemwambia akatoe Mungu anisamehe kwa kweli mambo mengine magumu....
Mpime tu magonjwa ya zinaa kwa tahadhari, kisha muendelee tu kulea mimba hadi mtoto atapo zaliwa apelekwe kwenye kituo cha watoto yatima kwa malezi.Mmevamiwa na majambazi mke wako akabakwa na akapata mimba
We mwanamke ungeitoa..?
We mwànaume ungemshauri mkeo akaitoe?
Aisee Mie ningemwambia akatoe Mungu anisamehe kwa kweli mambo mengine magumu....