GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,710
- 128,215
Kwanini Mwanaume akituhumiwa au akishtukiwa mbele ya ' kadamnasi ' kwamba amechafua hali ya hewa ( Kajamba ) huwa mwepesi kukubali na kukiri ' Kosa ' tofauti na Mwanamke ambaye hata kama mpo nae Wawili sehemu na ukasikia kabisa ' amejamba ' lakini ukimuuliza bado ' atakutumbulia ' mimacho yake na kukukatalia na kukubishia kwamba siyo Yeye na kuurudisha mpira wa lawama Kwako kwamba Wewe ndiyo umeachia Kitu?
Nawasilisha.
Nawasilisha.