Ukweli Usio Na Ushahidi WaKitafiti

Ukweli Usio Na Ushahidi WaKitafiti

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau Habarini Niwatakie Sabato Njema Yenye Baraka Tele.
Kuna Taarifa Nimezisikia Lakini Sijapata Uthibitisho Hasa Ule Wa Kiutafiti. Hata Hivyo Nikijaliwa Naweza Fanya Utafiti Siku Za Usoni Ili Nipate Taarifa Sahihi.Naambiwa Kuwa Zipo Baadhi Ya Nchi Zinaongoza Kwa ' Uhalifu'' Kulinganisha Na Nchi Nyingine. Cha Ajabu Nchi Hizo Zenye Kuongoza Kwa Uhalifu Zina Ustawi Mkubwa Sana Wa 'Ustaarabu'. Wametaja Baadhi Ya Aina Za Uhalifu Huo Ni Pamoja Na Matukio Mengi Ya Ukosefu Wa ''Maadili'' Wa Kiwango Cha Hali Ya Juu Uliopewa Baraka Rasmi.
Cha Ajabu Ni Kuwa Maeneo Hayo Yenye Uhalifu Mkubwa Pamoja Yana Waumini Wengi Wa ''Yehova''Wakati Maeneo Yaliyo Na Mapungufu Ya Uhalifu Huo Hayana Kabisa Waumini Wa ''Yehova''Wala Hata Dalili Za Kutaka Kuwa Nae.
Katika Nchi Hizo Zilizo Na Waumini Wa Yehova Matukio Ya Kushika Mimba Bila Kuolewa Hayapo,Utoaji Mimba Haupo,Wizi Haupo,Ulawiti Haupo,Wizi Haupo,Usemaji Uongo Haupo,Maradhi Ya Zinaa Hayapo, Tama Ya Mali Haipo n.k

Niwakaribishe.
 
mods ingelikua ni watu wengine uzi huu ungelionekana topic ukifungua hamna kitu ila kwa kua mnatizama nani alie itumaa uzii huu umepitishwa bila kutizamwa vigezo na mashart ,
 
Wadau Habarini Niwatakie Sabato Njema Yenye Baraka Tele.
Kuna Taarifa Nimezisikia Lakini Sijapata Uthibitisho Hasa Ule Wa Kiutafiti. Hata Hivyo Nikijaliwa Naweza Fanya Utafiti Siku Za Usoni Ili Nipate Taarifa Sahihi.Naambiwa Kuwa Zipo Baadhi Ya Nchi Zinaongoza Kwa ' Uhalifu'' Kulinganisha Na Nchi Nyingine. Cha Ajabu Nchi Hizo Zenye Kuongoza Kwa Uhalifu Zina Ustawi Mkubwa Sana Wa 'Ustaarabu'. Wametaja Baadhi Ya Aina Za Uhalifu Huo Ni Pamoja Na Matukio Mengi Ya Ukosefu Wa ''Maadili'' Wa Kiwango Cha Hali Ya Juu Uliopewa Baraka Rasmi.
Cha Ajabu Ni Kuwa Maeneo Hayo Yenye Uhalifu Mkubwa Pamoja Yana Waumini Wengi Wa ''Yehova''Wakati Maeneo Yaliyo Na Mapungufu Ya Uhalifu Huo Hayana Kabisa Waumini Wa ''Yehova''Wala Hata Dalili Za Kutaka Kuwa Nae.
Katika Nchi Hizo Zilizo Na Waumini Wa Yehova Matukio Ya Kushika Mimba Bila Kuolewa Hayapo,Utoaji Mimba Haupo,Wizi Haupo,Ulawiti Haupo,Wizi Haupo,Usemaji Uongo Haupo,Maradhi Ya Zinaa Hayapo, Tama Ya Mali Haipo n.k

Niwakaribishe.
Hivi uhalifu ni ustaarabu? Hivi uhalifu ni sehemu ya ustawi wa jamii? Hata sielewi labda kwa kuwa si kwenda shule.
 
Back
Top Bottom