Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wana Jf. Ni siku chache tangu KUSITISHWA kwa Ajira za Afya tar 31/10. Kumekuwa na Effects nyingi mno kwa hawa vijana. Kibaya zaidi kuna kijana ameacha hadi kazi mahali alipokuwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amewatahadharisha wakuu wa Wilaya na wapenda maendeleo wote Mkoani Rukwa wasiwanyanyase waandishi wa habari pindi wanapohitaji habari za kutangaza fursa...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Ni miezi zaidi ya 5 wilayani Ruangwa umeme haujawahi kukesha lakini jana kuhamkia leo ni furaha kwa siku hizi tatu ambazo atakuwa na ziara wilayani hapa nafurahi juice zetu hatuta mwaga kama...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini kampuni zetu za mabasi hazifanyi hivi kuongeza storage, pia kuongeza mapato na ufanisi au Tanzania hatuna mizigo mingi kiasi hicho. falcon mombasa
7 Reactions
196 Replies
28K Views
Wakati tunaingia mwaka wa 3 wa utawala wa awamu ya 5, inanikumbusha hadithi nilizosimuliwa na mabibi siku nyingi kuhusu kijana jasiri wa Kisukuma. (Mimi sio msukuma) Nafikiri pia unaweza kuipata...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
BAADHI ya walimu wanaofundisha katika Shule za Sekondari za Katumba na Nkeswa zilizopo katika kambi ya wakimbizi ya Katumba wilayani Mpanda katika mkoa wa Katavi, wanatuhumiwa kuwa na mahusiano ya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hawana pesa, Mali, wala vitu vya thamani. Utasikia fulani ana misukulie inamlimia, lakini hutomuona huyo mchawi akipata mavuno ya ziada ya kuweza kuuza na kuongeza kipato. Watoto wa wachawi hawana...
7 Reactions
59 Replies
9K Views
Watu watano wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi waliokuwa doria. Taarifa ya polisi imesema watu hao waliuawa walipojaribu kuwavamia wafanyabiashara wa madini katika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefanya huduma karibu Tanzania yote na hivyo nimepata wasaa wakubadilishana mawazo na watu wengi. Baada ya miaka mingi kwenye huduma nimegundua: 1)Ni wakristo wachache sana wanaolisoma Agano...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Kampuni ya Udalali ya Yono (Yono Auction Mart) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Tawi la Temeke leo Oktoba 27 wamemkamata mfanyabiashara Yusuf Manji kutokana na kutolipa...
6 Reactions
163 Replies
19K Views
kila kukicha majambazi yameuawa yakiwa yanajiandaa kufanya uhalifu hii ni kweli au ni yale ya mabwepande watu kubebwa na kwenda kuuwawa? Maelezo ya polisi sio professional kwani kila jambazi hata...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
HONGERA SANA MHESHIMIWA MPENDWA RAIS WETU DR. JOHN MAGUFULI. AHSANTE SANA KWAKUTUJALI WATANZANIA WA ITIKADI ZOTE. UBARIKIWE SANA KWA KAZI NZURI SANA NA MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI AKUJAALIE...
0 Reactions
2 Replies
680 Views
Habari za Usiku wakuu! Mimi Ni Mwanafunzi wa Chuo Flani Hapa Nchini, Nachukua Bachelor ya Civil Engineering na kwa Sasa Naingia Mwaka wa 3, sasa katika Kipindi hiki cha miezi kama mi3 ya kukaa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mji wa kwanza kutekwa na Waisraeli baada ya kuuvuka mto Yordani ulikuwa Yeriko. Na Mungu aliwaagiza kuwa kila watakapouvamia mji wa Kaanani ni sharti waangamize vyote watakavyovikuta kwenye miji...
21 Reactions
76 Replies
9K Views
Wataalam wa Google adsense naombeni mnisaidie, Katika ukurasa wangu kwa siku ninapata viewers 16000, no Watu wanaofuatilia Matangazo wanafika hadi 3000! ila cha kushangaza malipo ninayolipwa ni...
0 Reactions
3 Replies
703 Views
Wakuu, heshima kwenu nyote. Namtafuta huyu mdau kwa jina la shangoo , nina shida naye ya muhimu na haraka. Very urgent! Naona last seen yake ni kitambo kidogo: Kwa yeyote humu mwenye...
0 Reactions
6 Replies
812 Views
Sera mpya ya elimu inayotarajiwa kuanza kutumika muda wowote kuanzia sasa pale matayarisho yatakapokamilika, pamoja na mambo mengine inatarajiwa kupunguza muda wa kusoma elimu ya msingi kutoka...
12 Reactions
36 Replies
5K Views
Ni pale Wananchi wa Singida watakapoukataa Usaliti na Wizi kwa kumpiga chini Nyalandu swahiba wa Tundu Lisu, muda siyo mrefu hiyo siku itafika, ...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza kule Tanga Kaniki ni jina la mtu mwanaume ambapo mwanamke ni Makaniki. Ni vazi jamii ya kanga lisilo na maurembo yoyote zaidi ya rangi moja nyeusi iliyokolea sana ni miongoni mwa mavazi...
2 Reactions
40 Replies
22K Views
Habari za jumapili wapendwa? Natumaini mu wazima, Niende moja kwa moja kwenye mada husika bila kuwachosha. Ni hivi, mimi ni kijana wa kitanzania nina shule ya watoto wadogo yenye wanafunzi 50...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…