agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Habari za jumapili wapendwa?
Natumaini mu wazima,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika bila kuwachosha.
Ni hivi, mimi ni kijana wa kitanzania nina shule ya watoto wadogo yenye wanafunzi 50 mpaka sasa na nina mategemeo ya kupata wanafunzi zaidi, na tayari nina vyumba vya madarasa vitatu na offce ndogo ya walimu.
Dhumuni kubwa la kuandika yote haya ni uhitaji wangu wa watu au mtu au kama kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata wafadhili wa kuingia nao mkataba ili niweze kuongeza madarasa kukarabati vizuri na kupata vifaa vya kuendeshea shule kisasa zaidi, hayo ni kwa kifupi tu naamini humu kuna watu wengi wenye busara watanishauri vizuri.
Nakaribisha maswali kwa ambao watakuwa hawajanielewa.
Shukrani