Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,267
- 866,622
Kwanza kule Tanga Kaniki ni jina la mtu mwanaume ambapo mwanamke ni Makaniki.
Ni vazi jamii ya kanga lisilo na maurembo yoyote zaidi ya rangi moja nyeusi iliyokolea sana ni miongoni mwa mavazi maarufu kwenye mambo ya ulozi uganga ushirikina majini na mapepo, wataalam hawa ukiacha vazi jekundu hili ni kama sare yao Kaniki.
Vyovyote iwavyo kuna ushirika mkubwa kati ya vazi la kaniki na nguvu za giza nguvu za kuzimu kwenye dini ya mashetani nguo zao rasmi ni magauni meusi kwa wanawake au fulana nyeusi na sketi wanaume ni suruali nyeusi viatu vyeusi mashati na fulana nyeusi na wote huvaa miwani myeusi, magari na hata nyumba na vitu mbalimbali wanavyotumia ni vya rangi nyeusi.
Kwenye imani za dini zetu tunaambiwa Mungu ni nuru na shetani ni giza , tunaambiwa pia kuwa mbinguni ndiko pepo iliko lakini jehanam iko chini ya uso wa dunia.
Lakini pia mambo mengi mabaya hufanyika au watu hupenda kufanyia gizani, mifano ni mingi. Kila nitazamapo kaniki napata hisia mbaya kuwa ilitengenezwa kwa lengo maalum.