Kwanini kampuni za mabasi hazifanyi hivi Bongo, haya ni mapinduzi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,495
20,509
Kwanini kampuni zetu za mabasi hazifanyi hivi kuongeza storage, pia kuongeza mapato na ufanisi au Tanzania hatuna mizigo mingi kiasi hicho.

falcon mombasa
22552883_749556571895784_427174333068396118_n.jpg

22549753_749556615229113_3906679294878518707_n.jpg
22539796_749556451895796_3832886198335416329_n.jpg
22554835_749556555229119_2971946684201840955_n.jpg
22539951_749556545229120_8639478293197920796_n.jpg
22549763_749556518562456_198211857937974289_n.jpg
22552511_749556481895793_3434551549412308809_n.jpg
 
Kweli Tz ipo nyuma aisee yaani kuanzia nchi hadi mswazo ya watu!mbona kwa hizo nchi zote hapo tumeona hili limewezekana?kwanini sio Tz?najua hata ukijaribu hapa hata yrsffic police wetu watakuzuia tu
 
Inapendenza...

Ila itabidi madereva warudi shule tena, aina leseni zibadilishwe na barabara ziongezwe upana, hususan kwenye madaraja yaliyokuwa kwenye kona...

Cc: mahondaw
 
Kwanini kampuni zetu za mabasi hazifanyi hivi kuongeza storage, pia kuongeza mapato na ufanisi au Tanzania hatuna mizigo mingi kiasi hicho.

falcon mombasa
22552883_749556571895784_427174333068396118_n.jpg

22549753_749556615229113_3906679294878518707_n.jpg
22539796_749556451895796_3832886198335416329_n.jpg
22554835_749556555229119_2971946684201840955_n.jpg
22539951_749556545229120_8639478293197920796_n.jpg
22549763_749556518562456_198211857937974289_n.jpg
22552511_749556481895793_3434551549412308809_n.jpg
Ungeelezea faida zake ungeeleweka sasa hizo picha hazina maana yeyote la kujifunza hapo,
Binafsi nayaona ni kama tour bus.

Na pia binafsi kwa Tanzania yatakuwa ni hasara sababu.
1. Hizo ni gari za abiria sio mizigo, hivyo zitaaribu biashara ya gari za mizigo.
2. Speed ya basi itapungua ili kuweza kupunguza hatari ya hilo trailer kuviringika ikiwa kwenye speed
3. Ajali zitaongezeka sababu barabara zetu ni nyembamba ukilinganisha na za wenzetu.
4. Itapunguza mzunguko wa ela kwa watu kuwa na tabia ya kuzunguka na mizigo mingi bila sababu
 
Sasa ukifanya hivyo na maTransporter malorry yao wafanyie kazi gani, sana sana unahatarisha usalama kwa kufunga trailer kwenye basi refu namna hiyo, its NOT SAFE!, hata kuli-overtake ni hatari sana
Hii akiri mgando, watu hatupendi kufikiria wala kujiuliza wenzetu wamewezaje au inamaana wao ndo hawajari usalama? Cha ajabu baadhi yetu wame like hayo maelezo
 
Back
Top Bottom