UA ua ya majambazi

UA ua ya majambazi

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
652
Reaction score
607
kila kukicha majambazi yameuawa yakiwa yanajiandaa kufanya uhalifu hii ni kweli au ni yale ya mabwepande watu kubebwa na kwenda kuuwawa?
Maelezo ya polisi sio professional kwani kila jambazi hata auwawe kagera eti alihusika mauaji ya rufiji na Kibiti. Tuna maswali mengi kuliko majibu hapa
 
Halafu siku hizi hakuna Picha wala ushahidi wowote kuwa kweli hao majambazi wameuawa.
 
Ndio maana pamoja na ugumu wa maisha majambazi wanaogopa, hiyo ni njema kwa raia wema. Lengo ni kufanya watu waiogope hiyo kazi kuwa hakuna kukamatwa hai, ni Tanzania pekee majambazi walikua wanapora hata benki mjini na kutokomea! Wajaribu na sasa
 
Back
Top Bottom